Tumia asali original kupunguza makali ya macho mekundu

mwaega

Senior Member
Sep 22, 2013
188
254
TUMIA DAWA HII HAPA CHINI
ITAKUSAIDIA :
Tiba (1)

Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho
huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits na
maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa
asali katika nje ya jicho na ndani ya
jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia
unyoya au wa kuku au ndege yoyote
yule) kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo
ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya
vitunguumaji na asali uchange pamoja upake
hii kwa wale wenywe immature cataract.
(Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi )
isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja
kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda
wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba
ingine.

Kama unabisha nenda google kasome asali inasaidiaje tiba ya macho.
Kama unanjia nyingine iweke chini tusaidie watu

IMG-20231209-WA0004.jpg
FB_IMG_1698543063486.jpg
 
Shukurani, ingawa baadhi ya maduka na sehemu zinazouzwa asali hamna asali halisi.
 
Tiba ya macho mekundu ni hii hapa. :- chemsha majani ya chai, Lita moja aina yoyote ( green label tea) ifanye strong , kisha ipoze iwe uvuguvugu usiweke sukari. Kisha osha macho Mara Tatu. (asubuhi , mchana, na wakati wa kulala.) Endelea kwa siku tatu utaona Matokeo bora.
 
TUMIA DAWA HII HAPA CHINI
ITAKUSAIDIA :
Tiba (1)

Matatizo ya macho Asali ni bingwa
kwa ajili ya macho, Pakaa asali katika macho
huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika
matibabu ya trachoma, conjuctivits na
maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa
asali katika nje ya jicho na ndani ya
jicho (kwa ndani ya jicho unaweza kutumia
unyoya au wa kuku au ndege yoyote
yule) kufanya hivo asali hupigana na
kujilinda na maradhi ya glaucoma.

Tiba (3) Asali pia husaidia kwa matatizo
ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya
vitunguumaji na asali uchange pamoja upake
hii kwa wale wenywe immature cataract.
(Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi )
isiyochanganywa na sukari. Chaguwa moja
kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda
wa siku 3 isipomfaa ndio unatumia Tiba
ingine.

Kama unabisha nenda google kasome asali inasaidiaje tiba ya macho.
Kama unanjia nyingine iweke chini tusaidie watu

View attachment 2876696View attachment 2876697
Asali ndani ya macho?!!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Tiba ya macho mekundu ni hii hapa. :- chemsha majani ya chai, Lita moja aina yoyote ( green label tea) ifanye strong , kisha ipoze iwe uvuguvugu usiweke sukari. Kisha osha macho Mara Tatu. (asubuhi , mchana, na wakati wa kulala.) Endelea kwa siku tatu utaona Matokeo bora.
mkuu majani ya chai hayahaya ya dukani au ?? ..au Yale majani ya mchaichai ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom