Yegoo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2012
- 1,424
- 503
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty cd!
Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza,na wakati mwingne nina swich off Tv,ndipo naangalia,yaani huwa cpendi kabisa kelele,,nikiwa nimechoka!