Tiba ya kuchoka!

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,417
496
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty cd!
Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza,na wakati mwingne nina swich off Tv,ndipo naangalia,yaani huwa cpendi kabisa kelele,,nikiwa nimechoka!
 
Sijaelewa===5!!>>>>!!!
Ebu ngoja niboyeze hiki kitufe!!!
 
Nikichoka huwa sipendi kabisa kelele ndo maana kuna muda nasikiliza empty cd!
Na nikichoka sana nasoma plain papers, pia nalala huku nimesimama kuepuka kelele za godoro pale ninapo jigeuza,na wakati mwingne nina swich off Tv,ndipo naangalia,yaani huwa cpendi kabisa kelele,,nikiwa nimechoka!

Huo ni umburura tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom