ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,905
- 42,074
HapahapaWapi
HapahapaWapi
Kwan chumvi za dukan hazifai??Yale ni maombi na dua haya ni manuizi.. Maombi na dua ni kwa Mungu atende... Manuizi ni dhamira binafsi juu ya matokeo ya jambo
Nadhani tayari nimeshakujibu kuleKaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa Ninuie wakati nimeshika Chumvi kabla sijaweka kwenye maji au Ninuie wakati shaweka kwenye Maji.....??
We mzee samahani, kwa kuoga ni wiki mwezi au zaidi je kama naweka kwenye nyumba ndani au nje na kwenye kiwanja inakuwa vpNadhani tayari nimeshakujibu kule
Itumie tu kila siku kama unavyotumia sabuni au lotion... Huko kwingine unaweza kumwagia kila baada ya miezi kadhaaWe mzee samahani, kwa kuoga ni wiki mwezi au zaidi je kama naweka kwenye nyumba ndani au nje na kwenye kiwanja inakuwa vp
[emoji106]Itumie tu kila siku kama unavyotumia sabuni au lotion... Huko kwingine unaweza kumwagia kila baada ya miezi kadhaa
Uchawi wa macho mkuu ukipigwa waweza kufa kabisa. Dawa yake huwa magadi na chumvi.cc.@mshana jrHivi zongo ni kitu gani hasa mkuu?
Kama una maelezo mazuri
Tumia makata ni kiboko ya zongo
Hapana si lazima kwakuwa kwanza kichwani ni sehemu ndogo tu ya mwili
Leo siku ya nne nitaleta mrejeshoPole... Vp matokeo lakini