Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Nilisoma Uzi wako nikaitafuta hyo chumvi nikaogea nashangaa nikaanza kulala vizuri no ndoto za kutisha na mambo wengine, nilizoea tukiwa wadogo kuogeshwa na magadi kuondoa sijui zongo na hii ya chumvi iko bien sana
 
Kwa sisi wa Ntuzu umetuchenga kidogo, hivi kiwiko na kitu gani? ni kijiko au kiganja? hivi viswahili vya Pwani vinatupa tabu sana
 
Back
Top Bottom