Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

@zechriss mimi nikajua kiwiko ni kile kiungio cha mkono kilicho kati ya kiganja na bega,sasa nikawa nashangaa hapo chumvi itakaaje wakati unaichota,pale kwenye goti la mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sisi mabaharia tunaozama chumvini kuna haja ya kununua ya mabonge?
Naomba unijibu kwa niaba ya wazamiaji!!
 
Kama ni mabaharia halisi hakuna haja.... Ila kama ni hawa mabaharia kama komba mwiko.... Wazee wa ugiligili hawana jinsi kuitumia lazima
 
Daah! mabaharia nikajua tumetusua sasa rasmi burudan tiba mbadala!
 
Asante kwa elimu nzuri kwakweli imenisaidia mahali nilipokuwa nimepanga kila ikifika jioni kuna sauti za waduuu walikuwa wakiliia kwenye dirisha kila siku tena wanatoa sauti za kusumbua hata kulala huwezi unaamka na kuhangaika kulikagua dirisha lakini simwoni huyo mdudu nikakumbuka mada ya mshana kuhusu tiba ya chumvi nikaamka na kunyunyuzia nyumba nzima na kwenye lile dirisha kwa muda wa wiki moja toka siku hiyo hadi leo sijasikia tena sauti ya yule mdudu.

Asante mshana mada yako imenisaidia ubarikiwe
 
[emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109]
 
Back
Top Bottom