Ndiomaana tunatumia Avatar na ID fake [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mambo mengi uongo sana wanatoa hukoo wanacopy
Mkuu....Story za kutunga Sina mkuu,huwa napenda kujifunza lakini km ni hadithi za kutunga afu zinaandikwa km kisa cha ukweli hakuna maana