Thread zilizobamba mwezi August MMU

aisee, kumbe makubwa haya.... tumboo hujambo...?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hasira haziwaishi nyie vijana, mmebadilisha hata maana ya thread mmehamishia michapo yenu huku! Alafu wengne mnachukiana hata hamjuani mnachukiana ki-ID IDs. Je mgekuwa mnaonana si mungepigana kabisa?
 
Nn kupigana leo tungenyofoana makalio kabisa lol
 
Mbona kama mjadala umehama au mm sijaelewa lengo la huu Uzi.
Ila watu mnanyongo humu.
 
hili jukwaa limekuwa la mipasho bora hata traventine jumapili usiku nitajua ni jahazi wanapiga kuliko humu
shennzzzyyy kabisa kwa waimba taarabu wa jukwaa hili

Shenzi zakooo weweee kama sio ni mmoja wa waimba taarab kuna mtu kakuita huku ungepita kimyakimya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…