Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
- Thread starter
-
- #21
Yaani Hii Mitandao Imefanya Watu Wamekuwa Wavivu Kufikiri,thread Za Kijinga Jinga Tu Unauliza Mambo Ya Kipumbavu Tu Mda Wote,yaani Hakuna Vya Maana,
umeniwahi nimewaza kama ulivyowaza mkuu
Huu nao ni uharo.
nyani babu, hivi hambakizagi hata kidogo akili za kuongozea familia,au bado unaishi gheto huko USA, tulete thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu ya kila siku
nyani babu, hivi hambakizagi hata kidogo akili za kuongozea familia,au bado unaishi gheto huko USA, tulete thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu ya kila siku
achana na hilo shang.ingi linatawa.za vibi.bi huko mbele.
hasa thread za jukwaa la mahusiano kuna thread za ajabu ajabu mno huwezi jua nani mkubwa nani mdogo,ubaya zinaleta attention kwenye new posts ukijaribu kufungua unaambulia kuboreka,mods watakusikia
nyani babu, hivi hambakizagi hata kidogo akili za kuongozea familia,au bado unaishi gheto huko USA, tulete thread zenye mashiko kwa taifa na maisha yetu ya kila siku
ha ha ha mkuu alafu utakuta ni mtu wa makamo tu ila kwenye mtandao anasema sema hovyo,ni wa kumhurumia tu hamna namna,
ulitaka watoke.na.mkeo inayokubore unakaa kimya mpaka anarudi jehova nikusaidie na exp humu cha.kusoma akiliza watu sana nini cha kufanya ukisoma hdn inakubore acha ukiisoma ndan mns umeipenda mpwa lakohilomtu anaomba ushauri ampeleke wapi demu wake out, nonesense kabisa nashauri mods wafanye namna
ulitaka watoke.na.mkeo inayokubore unakaa kimya mpaka anarudi jehova nikusaidie na exp humu cha.kusoma akiliza watu sana nini cha kufanya ukisoma hdn inakubore acha ukiisoma ndan mns umeipenda mpwa lakohilo
Duuuuh mkuu NN achana nao hao ndugu
Yaani Hii Mitandao Imefanya Watu Wamekuwa Wavivu Kufikiri,thread Za Kijinga Jinga Tu Unauliza Mambo Ya Kipumbavu Tu Mda Wote,yaani Hakuna Vya Maana,
tena huko MMU ndo kumejaa watoto vivuli kibao!