This moment!

This moment!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,436
Reaction score
872,034
Kwakuwa kila roho ya binadamu ina ushetani ndani yake... Hupenda kuwaza kwa mtazamo wenye kumfurahisha na kumpa nafuu ya nafsi(dhana ya matamanio)
Yani huwa na Majibu yake tayari mawazoni mwake! Anachokitafuta ni maswali tuu( umeme single phase)
Kuna vitu wala havina tafsiri uwazayo wewe ila kwakuwa majibu unayo tayari nafsini mwako ni ngumu kubadili mtazamo wako huo! (Indicator ya shetani)
1479470824030.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa kila roho ya binadamu ina ushetani ndani yake... Hupenda kuwaza kwa mtazamo wenye kumfurahisha na kumpa nafuu ya nafsi(dhana ya matamanio)
Yani huwa na Majibu yake tayari mawazoni mwake! Anachokitafuta ni maswali tuu( umeme single phase)
Kuna vitu wala havina tafsiri uwazayo wewe ila kwakuwa majibu unayo tayari nafsini mwako ni ngumu kubadili mtazamo wako huo! (Indicator ya shetani) View attachment 577696

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah unaogopa kukwapuliwa roho yako usingizini ndo maana unatupigia kelele tuliolala weweee!!!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwakuwa kila roho ya binadamu ina ushetani ndani yake... Hupenda kuwaza kwa mtazamo wenye kumfurahisha na kumpa nafuu ya nafsi(dhana ya matamanio)
Yani huwa na Majibu yake tayari mawazoni mwake! Anachokitafuta ni maswali tuu( umeme single phase)
Kuna vitu wala havina tafsiri uwazayo wewe ila kwakuwa majibu unayo tayari nafsini mwako ni ngumu kubadili mtazamo wako huo! (Indicator ya shetani) View attachment 577696

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii miguu na hiyo kyupi imenipa unafuu wa nafsi ( matamanio)
Cc: MBITIYAZA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom