THIS lIFE IS UNFAIR,WHY ALWAYS ME?

oooona sasa!
nini hiki? King'asti kuja huku LILENDI mi nikisema kuna watu wanaandika au kutamka tu maneno ya lugha ya kiingereza we unacheka ona sasa huku!

Abee your majesty! hahahaaa! msamehe bure, anawawazia wadada zaidi kuliko CL na masomo mengine. watamdaka halafu aanze kulialia
 
We dogo hebu tulia kwanza, kitabu hakijaisha, keshi bado unateemea bumu harafu unaanza kulalamika. Inabidi ujue wenzetu ni opportunists ukiwa na keshi hata ukiwa na sura mbaya namna gani we ni bonge la HANDSOME. Hapa nilipo najiuliza niwaepuka vp hawa waliongia kwenye himaya yangu. Kila mmoja alishaimarisha mitego yake na kote kote nimenaswa.

Soma dogo ukipata wa kupunguza stress kamua achana na ahadi za kuoa.
 
Abee your majesty! hahahaaa! msamehe bure, anawawazia wadada zaidi kuliko CL na masomo mengine. watamdaka halafu aanze kulialia

it is okay,kaka am not going to use girls bt am lukin for wife.
 
Una matatizo ya akili wewe. Yaani umekutana na mdada two weeks ago afu unamuambia unataka kumuoa?
Hebu acha bhange. Jinyonge kwa bigijii kama vipi!
 
it is okay,kaka am not going to use girls bt am lukin for wife.

dont u know the meaning of wife aiseee ...... tafuta wa kuondoa bikra ushauri wangu ndo huo na uvae condom....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…