This is too much!...

This is too much!...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Ina maana maeneo ya kufanyia starehe zenu yamekwisha?...

2much.jpg
 
Hilo kaburi labda la mchizi wake, au mtu wa karibu naye, hivyo kaenda 'kupiga' naye story. Kifo cha mtu ambaye alikuwa karibu nawe nuksi, unaweza ukawa chizi.
 
itakuwa ni kaburi la mkewe ana mzazi au ndugu wa karibu
 
Back
Top Bottom