This is Sick!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is Sick!!!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Dec 12, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Dec 12, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  KFC Workers Fired For Bathing In Sink


  POSTED: 5:49 pm EST December 10, 2008

  [​IMG]

  ANDERSON, Calif. -- Two female employees of the Anderson Kentucky Fried Chicken have been fired for bathing in a deep sink used to clean dishes, while a third earlier quit her job.

  One of the young women posted photos on MySpace.com of the trio posing in underwear and swimwear, KCRA-TV reported.

  The photos were filed under a gallery called "KFC moments." Captions included "haha KFC showers!" and "haha we turned on the jets."


  KFC manager said the young woman who quit expressed an interest in taking a bath in the sink, but the manager told her not to do it.

  KFC officials issued a statement that the company has "zero tolerance" for such violations of operating standards.
  KFC Workers Fired For Bathing In Sink - Miami News Story - WPLG Miami
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Vijana wa bongo walivyokosa maadili siku hizi wanaweza kuiga ushenzi huu wakidhani ni fashion!!
   
 3. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Tafadhali ndugu zangu watanzania,kwa jinsi mnavyojua kuiga mambo ya huko mbele(nchi za America na Ulaya) msije mkathubutu kufanya waliofanya hawa akina dada.
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  Niliacha kula mayonnaise kwenye Burgers za McDonnalds, sababu ya ile hadithi eti "pissed" employees wana spit & 'jerk-off' kwenye mayo bucket, sasa naona inabidi kuwa suspicious na unexplained 'hairy or slimy' substances kwenye KFC pia?... huh!

  Disgusting!!!!
   
 5. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  si afadhali hao wamekutwa live .. sincerely kwenye mahoteli / mashughuli kuna mambo tena mengine ukiyaona utasubutu kula hovyo .. the only place you can get decent food ni nyumbani peke ..

  huku kwetu kwa mama ntilie ndo usiseme na hayo mambo ya kishirikina kuna story chungumzima mpaka yanatisha .. na kweli kama unajamaa au ndugu anaependa kula kwa mama ntilie ukilinganisha mwili wake wa zamani na wasasa utakubali kwamba kuna mabadiliko makubwa na yametokea ghafla kama si haraka ..
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,654
  Likes Received: 35,414
  Trophy Points: 280
  Limbwata...whatever the hell that is...
  Ndio maana sipendi kula kwenye migahawa.
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Dec 12, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa...mlo safi ni wanyumbani tu!

  Sikujua utamu wa msosi wa mama n'tilie hua kuna ushirikina ndani yake.
  Mwenzio nd'o nishakoma hivyo!
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Wengi ugali, wali wanatia amira. Mafuta ya kupikia ni yale yaliyokwisha expire kwenye godowns au maduka wanachukua. Nyama ni ile iliyolala buchani au zile ambazo zimakataliwa machinjiani na vet zinapelekwa kwa mama niwekee (upgraded to mama lishe). Yapo mengi, nakushauri kama una njaa kula hata tunda ofisini usubiri kula home, haswa kwa Tz. Kwa wale mlioko nje ya Tz sijui mambo huko. Hapo sasa sijayajua ya kalimanjila wanayotumia kuita wateja????!!! Be ware, it is beyond junk foods!!!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,654
  Likes Received: 35,414
  Trophy Points: 280
  Mimi nilishaacha kula kwenye so called Chinese joints baada ya kusikia mistori kibao. Kuna kipindi nilikuwa addicted sana na Chinese. Nilikuwa napenda zile teriyaki chicken on a stick/ skewer. But I always had this doubt in my mind coz it never really tasted like chicken but nevertheless, it was called teriyaki chicken. So I kept on convincing myself that they probably season it very well and that's why it doesn't taste like regular chicken. Don't get me wrong now, it tasted good and all but just not like regular chicken.

  The wake up call came one day after I saw this news story out New York about a Chinese joint that got busted. Since then, I've been very careful on which Chinese joint I go to wine and dine. I recommend PF Chang's
   
 10. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,189
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu, teriyaki katika chinese restaurants ni jina tuu! Nami ni mwoga sana kula katika migahawa hasa ya kichina. Wachina ni mabingwa wa 'food fraud" vyakula feki. Natumaini unakumbuka ishu ya 'melamine' kwenye infants formulas.
   
 11. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mimi uwoga wangu ni kwenye buffet. Hivi umeshawahi kuwa na bonge la njaa, halafu ukaingia kwenye "all you can eat" restaurant kama Golden Corral. Then hata kabla haujafika nusu ya sahani yako, tayari tumbo limeshajaa.

  All you can eat chinese restaurants ndo noma kabisa.

  Huwa nilikuwa najiulizaga, wanaweka nini kwenye chakula mpaka nishibe haraka hivyo? Nikaona solution ni kuquit kula huko altogether...
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Dec 12, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,654
  Likes Received: 35,414
  Trophy Points: 280
  Unajua nini QM? Wanaweka chumvi na seasoning kibao zenye michumvi inayokufanya unywe maji au soda nyingi just after you take the first couple of bites. Unajaza tumbo na mi liquid hiyo na ndio maana unashiba kabla hata hujafika nusu ya sahani. Wajanja sana hawa watu...
   
 13. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2008
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ha ha haa umenikumbusha shughuli za utotoni na minuso.

  Mimi nilikuwa mlevi sana wa pilau (bado mlevi mpaka sasa hivi). Basi nikienda kwenye minuso nilikuwa navamia masoda tena yenye gesi (si unajua vitimbwi vya utoto na soda). Sasa wakati wa menu, nilikuwa najaza sahani yangu halafu naishia kula vijiko viwili vitatu.....ngoma hiyo juu ya mawe!!! Naishia kukodolea minyama kwa uroho, huku mate yananitoka. Mwishowe nikaja kugundua kuwa ni misoda ndio iliyokuwa inanijaza tumbo. Kwa hiyo nikawa nakunywa soda mmoja tu, halafu nauchuna mpaka baada ya msosi.

  Kuna mshikaji mmoja akanipa ujanja. Kuna zile dawa fulani za kupunguza gesi tumboni, zilikuwa zinaitwa andrews (something like that). Basi nikawa nazibeba kibao kwenye minuso. Nikawa nazichanganya kwenye soda. Si nikawa nabugia soda kibao, na msosi ukija nafukia vile vile... Ila usiku wake ni mambo ya gesi tu all over....lol

  Utoto bana!!!
   
 14. Natty Bongoman

  Natty Bongoman JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 273
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  finger-licking, huh?
   
Loading...