Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,263
- 185,185
Yani bora amuache ajue moja ila sio kwa kumnyasanyasa huko Hawezi kuwa na amaniHata kama aisee bora kumuacha kuliko kumdhalilisha na hilo lijamaa halijui tu hiyo picha itakuwa inamuongezea machungu kila uchwao na si ajabu siku akafanya kitu cha ajabu.
Cc Smart911