Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,292
Hawez kuwa sponsor na fundi kwa pamoja labda uwe nao wawili
Hawez kuwa sponsor na fundi kwa pamoja labda uwe nao wawili
Takaa, tasema, tagalagala, tamuomba... Hizi ta ta ta ta taaaa zinaharibu flow ya usomaji, sisi wasoma comment mnatupa shida kidogo, fanya kuzipunguza mkuu.šMi mwanamke aki ni cheat lazima nikae chini nijitathimini what couses of cheating
1-Poor capital income
2-Poor sexual infrastructure
Kama ni sababu ya kwanza its oky tasema tajitafuta
Ila kama sababu ni ya pili daaah takaa chini talia sana sana sana mpaka tagalagala baada ya hapo tamuomba msamaha
Hapana wakuu hapo kwenye kuomba msamaha natania. Siwezi fanya huo ujinga šššššš
šššNi kweli lakini ukiona mtu kang'ang'ania kitu cha zamani, tena ukute kinakuzidi hadi wewe umri. ujue anakipenda kuliko wewe mke wakeš. Kama flat Nanunua ila chogo yangu usiuze
Unaweza jikuta unasaliti ndoa yako.
Ndioošššš
Haya bhana.
Naona unavienzi vitu vyako
Naomba mwongozo wa foto ya kunyoshana nione kwanzaaaa si wajua mie kilaza wako nilivo kichwangumu kuelewašš
Mi Nabutuaaaaa afu naweye tutasovu badae!š Na nilivo sijui kuongea sana alooooooooooo ntauaaššššš










Lipo ongea na watu vizuri...Nitaiweka usiku.
Sema JLW linatukosesha vingi.
Sahv ingekuwa mambo hadharani
Haya babaNdiooš
Thubutuuuuuuuuu......Lipo ongea na watu vizuri...
Una siti yako mbinguni...............ila sasa mama mkwe wengine ni wabibi sana utafanyaje shekh wangu???Nimependa huyo jamaa anavyomtesa huyo mwanamke kisaikolojia ila kwangu mimi msamaha wangu ingekua kutembea na mama mkwe ili roho isuuzike vizuri š
Alafu we mwamba nilikua nakuheshimu sana huku jf... tangu mara yakwanza nasoma uzi wako wa rocket science manufacturing nikaona jamaa ni mtu na madini ila leo nakushusha vyeo mkuuTakaa, tasema, tagalagala, tamuomba... Hizi ta ta ta ta taaaa zinaharibu flow ya usomaji, sisi wasoma comment mnatupa shida kidogo, fanya kuzipunguza mkuu.š
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Thubutuuuuuuuuu......
Mie liwepo nisilijue.
Thubutu yake, nitaandamana
Unajua niliposoma comment yako hadi nikahisi labda simu atakua nayo shemeji kwa maana sijazoea kukusoma kwenye uandishi wa namna hiyo, talia, tasema takwenda ta ta ta ta ni nini hiyo?ššAlafu we mwamba nilikua nakuheshimu sana huku jf... tangu mara yakwanza nasoma uzi wako wa rocket science manufacturing nikaona jamaa ni mtu na madini ila leo nakushusha vyeo mkuu
Unajua niliposoma comment yako hadi nikahisi labda simu atakua nayo shemeji kwa maana sijazoea kukusoma kwenye uandishi wa namna hiyo, talia, tasema takwenda ta ta ta ta ni nini hiyo?ššAlafu we mwamba nilikua nakuheshimu sana huku jf... tangu mara yakwanza nasoma uzi wako wa rocket science manufacturing nikaona jamaa ni mtu na madini ila leo nakushusha vyeo mkuu
Ahahahahaha nimecoment as if issue ndo imenikuta mimi so nikawa na andika kwa strong panic issueUnajua niliposoma comment yako hadi nikahisi labda simu atakua nayo shemeji kwa maana sijazoea kukusoma kwenye uandishi wa namna hiyo, talia, tasema takwenda ta ta ta ta ni nini hiyo?šš
Hivo hivo unamkojolea mzee si K ipo!Una siti yako mbinguni...............ila sasa mama mkwe wengine ni wabibi sana utafanyaje shekh wangu???