This is not the best way to punish your wife.

This is not the best way to punish your wife.

Imagine una watoto, wanaona picha yako ukimsaliti baba yao.
Aibu sana asiee.
Ila wanawake sie wakati mwingine tutuliage na tulioamua kuwachagua maishani
Imagine jamaa amechapisha mpaka vitabu vyenye picha 😃 daah
 

Attachments

  • Screenshot_20250413-185653.png
    Screenshot_20250413-185653.png
    708.9 KB · Views: 22
Mi mwanamke aki ni cheat lazima nikae chini nijitathimini what couses of cheating
1-Poor capital income
2-Poor sexual infrastructure
Kama ni sababu ya kwanza its oky tasema tajitafuta
Ila kama sababu ni ya pili daaah takaa chini talia sana sana sana mpaka tagalagala baada ya hapo tamuomba msamaha

Hapana wakuu hapo kwenye kuomba msamaha natania. Siwezi fanya huo ujinga 😂😂😂😂😂😂
Kwani we ndio bayani? Sio kwa ta ta ta hizo😂
 
Back
Top Bottom