This is not the best way to punish your wife.

Mwanaume mmoja ameibua taharuki mitandaoni baada ya kumkamata mkewe akiwa anamsaliti, kupiga picha tukio hilo, kuichora kwenye fremu, na kuitundika katika sebule na chumba chao cha kulala licha ya mkewe kuomba msamaha kwa machozi.

Kwa mujibu wa taarifa, mwanaume huyo alikataa kusamehe mkewe isipokuwa kwa sharti moja tu — kwamba picha hiyo ya aibu ibaki ikining’inia ukutani katika sebule yao. Alisema kuwa siku yoyote mkewe akiiondoa picha hiyo, basi ndoa yao itakuwa imefikia mwisho rasmi.

Lakushangaza zaidi, mwanaume huyo alienda mbali na kuchapisha fulana 10 zenye picha hiyo na huzivaa kila anapokwenda kwenye shughuli mbalimbali. Aidha, alichapisha pia vitabu vyenye picha hiyo, jambo ambalo limezua maoni mseto kutoka kwa watu mitandaoni – wengine wakilaani hatua hiyo kama ukatili wa kihisia, huku wengine wakisema ni "fundisho" kwa wanaosaliti ndoa zao.
===================

A man caught his wife cheating, snapped her, framed the picture and hanged it in their sitting room and bedroom despite all her plea for forgiveness.

The man said that the only condition to forgive her is to allow the framed picture to remain in the sitting room, that any day the woman removes it will mark the end of their marital journey together.

He then went ahead and printed ten T-shirts with the picture and wear it whenever he has function to attend. He also printed books with the picture of his wife cheating.

Moral lesson: this is not the best way to punish your wife.

Huyo Mwanamke atakufa mapema Mno kwa sababu kosa lake limekua wazi mno labda ahame hilo eneo na akajiunga na makanisa ya Kilokole KAMA lile la Mchungaji Magembe ili awe analia sana kwa kusikia dhambi yake ya uzinzi inatajwa mara kwa mara . Ikiwezekana aombewe sala ya toba huko ili akie vya kutosha.
Uzinzi kwa Mwanamke ni jambo baya sana hasa akigunduliwa.
Wanawake wakigundulika kuwa wanachepuka hua ni jambo linalowatesa sana ndio maana mwanamke anaweza akamuua hata mtoto wake endapo mtoto atatoa au atataka kutoa siri kwa baba yake kama alimuona mama yake akichepuka . Yote ni kwa sababu hawataki siri za kuchepuka kwao zivuje na hasa kama mumewe anajitahidi kumtimizia mahitaji yake ya msingi katika familia na hana tabia za uchepukaji wa wazi .

Wanawake wana mambo mengi mabaya sana wanayoyafanya kwa siri .Lakini wanapata faraja na kusahau uovu wao kwa sababu wanajua kuficha mambo na kuficha siri .
Ila wanapgundua kua wamegundulika wanapata pigo kubwa sana .

Ndio maana wanawake wengi wanalia na hata kuanguka wanaofika kwenye nyumba za ibada yanayofanyika maombi na maovu yao ya siri kuguswa .Wanapata mshtuko .
Maisha yao yanabaki kuwa ya kulia kama tiba kwao .Wasipopata eneo kama hilo wanapata maumivu yaisyoisha .
 
Usaliti ni zaidi ya unyama.....
 
Hao wanawake huko sirini wayatenayo huwa ni wao kwa wao au na wanaume?
 
Wanawake wanaweka mpaka ,mavi na mikojo kwenye Chakula.

Mwanaume hawezi kumsingizia Mwanamke mtoto lakini Mwanamke anaweza akazaa nje ya ndoa watoto wote na akamsingizia mumewe.

Hebu fikiri hiyo dhambi ya uongo itaisha lini kwenye maisha yake maana hawezi kamwe kusimama na kusema ukweli mbele za watu na kutubu.
Atakua anakumbuka dhambi yake na kulia mara kwa mara na watu wanadhani kuwa ni ulokole kumbe anawaza namna ya kutubu hiyo dhambi ya uongo isiyoisha ya kumdanganya mtoto kwa kumpa baba feki .

Wanawake wengi ni washirikina hata wao wenyewe kwa wenyewe na wanafanya mambo mabaya sana kwenye ushirikina .

Hakuna mwanaume mchawi anayeua mtoto wa jirani yake au mke wa jirani yake lakini wanawake wanaua watoto wa majirani zao na hata waume zao .
 
Salute 🤚 Mkuu, uko nondo mno kuvielewa viumbe hai Ke kisaikolojia na kitabia kiujumla.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Hata kama aisee bora angemuacha tu kuliko kumdhalilisha na hilo lijamaa halijui tu hiyo picha itakuwa inamuongezea machungu kila uchwao na si ajabu siku moja akafanya kitu cha ajabu.
 
Back
Top Bottom