This is getting too strong

This is getting too strong

Kama uko sure kuwa hutopata ukimwi endelea nao kama unaogopa ukimwi bora tumia gharama ili mradi uwe safe tafta binti uwe nae maana ushauri tunaoutoa humu jf hatujuani na wenda tunawashauri watu wetu watarajiwa hapa napo kuna shida.cheza na hela ila sio afya
sure...ingawa saiz sijapanga kuingia kwenye mahusiano
 
Embu vaa viatu vya hao unaokula wake zao. Ungekuwa ni wewe ukagundua. Ungejiskia je?
i know ingekua n mm nisingejisikia vizuri...ila trust me kuna vitu wanamiss aisee...ukimuangalia its like she completely give up kwa mme wake..kwamba he wont give her the attention and affection she gets from someone else....or me in that case means ata waume nao they have to asses themselves upyaa
 
Sasa ww suburi ukioa wako akivimis wenzako wamdandie
 
continue it will get more stronger and stronger when you will be fucked and always fucked until you become a gay
 
mmh tatizo humu jf watu wanakuja kuomba ushauri huku wakiwa na majibu yao kichwani
 
Habari za juma pili wadau

Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia

Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.

Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)

Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu

Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.

I am early 30's na sijaoa

Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa
Hahahha eti "wanajieshimu! 😀 😀😀
Subiri nawe uoe tuje tukugongee 🙂 😉
Si unajua muosha huoshwa 😀 😀
 
mmh tatizo humu jf watu wanakuja kuomba ushauri huku wakiwa na majibu yao kichwani
ofcoz we have....what we do here is just to beef up to what we have
 
......wapotezee mkuu maana itakugarimu sana siku moja, ushauri lakini.
 
Back
Top Bottom