This is getting too strong

This is getting too strong

Habari za juma pili wadau

Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia

Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.

Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)

Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu

Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.

I am early 30's na sijaoa

Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa
Hio inawatokea wewe na wenzio wenye nyota ya kuliwa tigo.......yatatimia tu
 
hao wamama matured ni watamu jmn acheni tuuu.....wengi wao hua wapo seriuos kwny mgegedo...........
 
hahaha mm ote ni age met au nimewazid...sio wamama in the sense wamenizid umri
 
Habari za juma pili wadau

Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kwa wachangiaji nawaleta mada ndani ya jukwaa ili kubadilishana uzoefu kwenye mambo mbalimbali yakijamii na kifamilia

Dhumun lakuandika uzi huu ni kutaka kueleza maswahiba yanayonisibu na haswa kwenye mahusiano.

Kwa kasi ya ajabu sana nimejikuta nina idadi kubwa ya wake za watu ambao najihusisha nao kimapenzi (kama wa4) siwezi kusema najiona rijali au mwerevu sana ila kwa namna ambazo sielew elewi najikuta naangukia kwa wake za watu (kuna ambao either niliwapenda mm na ambao wao walianza)

Hii trend inakua kadri ck zinavyoenda na najikuta i love them more....kwa sababu sio wasumbufu and wanajiheshimu

Wakuu hii hali hua inamtokea kila mmoja au ni mm tu na kwa kadri siku zinavyozid kwenda i think it is getting stronger.

I am early 30's na sijaoa

Ushauri,maoni,vijembe, vyote ruksa
Nikushauri tu Mkuu, wake za watu wanakupotezea muda wako wa kuwa na mkeo, sijui kama una hata mchumba, hapo ulipofika kwa umri ndiyo haswaa unatakiwa kuwa namke na kuanza kujenga familia yako.

Inaonekana baraka yako iko kwenye ndoa hivyo, unavyochelewa kuoa ndivyo unavyopoteza, unachezewa boya na uovu ili uendele kushughurika na wake za watu wakati kibarua cha ndoa yako kinaharibika, nakuomba jitenge nao najua haitakuwa rahisi kwa sababu ndoa ni eneo lako la baraka shetani atakuletea ugumu mwingi kutoka, na inawezekana hata kupata mkee ikawangumu.

Kama ni kweli itakuwa hivyo, basi huo utakuwa uthibitisho kuwa ndoa ni eneo lako la baraka, hivyo itakuhitaji kutumia ujuzi wako wote kupata mke sahihi kwa maisha yako. kwa maana nyingine utahitaji sana kumshirikisha Mungu kuvuka hapo.

Usiogope yote yanawezekana kwake aaminye, piga chini hao waovu haraka kwa kuwaambia sio kwa siri, na waambie unaoa na hautaki kuchanganya mambo. Ukipata ugumu kuacha omba toba kwa Mungu kisha omba mara kwa mara na utatoka.
 
nashukuru sana mkuu,wewe ndio wakwanza kusumbuka kujiambia maneno yabusara
asante sana will consider your advice
 
Aisee yaani unaacha serengeti unakomaa na hao ambao wengine seal zimekufa,maambukizi ya ukimwi ni asilimia 50 kwa wanandoa,wote wanachepuka mke na mume.unaona sifa hiyo? jiongeze.tafuta msimbe mmoja tulia naye.achana na umario huo.
Hahahaa umenikumbusha mbali hilo neno ``msimbe``
 
Ushauri huu
Nikushauri tu Mkuu, wake za watu wanakupotezea muda wako wa kuwa na mkeo, sijui kama una hata mchumba, hapo ulipofika kwa umri ndiyo haswaa unatakiwa kuwa namke na kuanza kujenga familia yako.

Inaonekana baraka yako iko kwenye ndoa hivyo, unavyochelewa kuoa ndivyo unavyopoteza, unachezewa boya na uovu ili uendele kushughurika na wake za watu wakati kibarua cha ndoa yako kinaharibika, nakuomba jitenge nao najua haitakuwa rahisi kwa sababu ndoa ni eneo lako la baraka shetani atakuletea ugumu mwingi kutoka, na inawezekana hata kupata mkee ikawangumu.

Kama ni kweli itakuwa hivyo, basi huo utakuwa uthibitisho kuwa ndoa ni eneo lako la baraka, hivyo itakuhitaji kutumia ujuzi wako wote kupata mke sahihi kwa maisha yako. kwa maana nyingine utahitaji sana kumshirikisha Mungu kuvuka hapo.

Usiogope yote yanawezekana kwake aaminye, piga chini hao waovu haraka kwa kuwaambia sio kwa siri, na waambie unaoa na hautaki kuchanganya mambo. Ukipata ugumu kuacha toba kwa Mungu kisha ombaombaombaa kwa mara na utatoka.
Nikushauri tu Mkuu, wake za watu wanakupotezea muda wako wa kuwa na mkeo, sijui kama una hata mchumba, hapo ulipofika kwa umri ndiyo haswaa unatakiwa kuwa namke na kuanza kujenga familia yako.

Inaonekana baraka yako iko kwenye ndoa hivyo, unavyochelewa kuoa ndivyo unavyopoteza, unachezewa boya na uovu ili uendele kushughurika na wake za watu wakati kibarua cha ndoa yako kinaharibika, nakuomba jitenge nao najua haitakuwa rahisi kwa sababu ndoa ni eneo lako la baraka shetani atakuletea ugumu mwingi kutoka, na inawezekana hata kupata mkee ikawangumu.

Kama ni kweli itakuwa hivyo, basi huo utakuwa uthibitisho kuwa ndoa ni eneo lako la baraka, hivyo itakuhitaji kutumia ujuzi wako wote kupata mke sahihi kwa maisha yako. kwa maana nyingine utahitaji sana kumshirikisha Mungu kuvuka hapo.

Usiogope yote yanawezekana kwake aaminye, piga chini hao waovu haraka kwa kuwaambia sio kwa siri, na waambie unaoa na hautaki kuchanganya mambo. Ukipata ugumu kuacha omba toba kwa Mungu kisha omba mara kwa mara na utatoka.
Mkuu angalia hii ni nzuri sana kwako
 
Kama uko sure kuwa hutopata ukimwi endelea nao kama unaogopa ukimwi bora tumia gharama ili mradi uwe safe tafta binti uwe nae maana ushauri tunaoutoa humu jf hatujuani na wenda tunawashauri watu wetu watarajiwa hapa napo kuna shida.cheza na hela ila sio afya
 
Duh pole sana Mkuu,, Jaribu kuwaza kwa kujivika Cheo cha mme kwa mmoja wapo hao wake za watu, Ukifika mwisho wa Wazo lako, Anza kujiambia kama upo tayari kutokewa na Maswaibu hayo kwa Mkeo!! Mechi pekee isiyo na mwisho wa Droo ni Maisha Peke yake... UYASHINDE AU YAKUSHINDE!! Nakuombea kheri sana, Mungu akuongoze kuyaendea Uyatakayo!!.
 
Back
Top Bottom