tokomea
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 193
- 87
Kuna Rafiki yangu ni muongozaji wagen( mountain guide)mwaka 2014 akiwa anaongoza mgen mmoja kutoka ufaransa katika kituo cha machame hut( saa tisa usiku) mgen wake aliibiwa fedha pamoja na vitu vingine,katika tukio hili alie kuja kumuamsha muda huo wa usiku ni mlinzi wa kituo(ranger)alimuamsha na kumwambia kuwa hema la mgen wake liko wazi ,baada ya yeye kuamka alienda pamoja na askari(ranger)mpaka kwenye hema la mgen wakiwa pamoja na askari walimkuta mgen ndan ya hema lake akiwa amelala,walimuamsha na baada ya kumuamsha mgen aliamka ndipo walipomuuliza kwa nn anaacha hema wazi,mgen alijibu kuwa alikuwa amefunga hema lake na asingeweza kuacha hema wazi Kwan ni usiku na pia angesikia baridi,kumbuka kituo hiki kipo mita 3000 kutoka usawa wa bahari
Baada ya kuamka mgen alishauriwa akague vitu vyake ndipo akakuta kuwa beg lake halipo(rucksack) pamoja na vifaa vingine havipo,usiku ule ule Askari aliamsha watu waliokuwapo kambin isipokuwa wagen tu,baada ya hapo askari(ranger) aliamuru watu wazunguke maeneo ya kambin ili kuona kama wata fanikiwa chochote,baada ya Amri hiyo watu walianza jitahada za kutafuta vifaa vya mgen,lakin ndan ya mita 8 kutoka lilipokuwa hema la mgen kulipatikana beg la mgen pamoja na passport yake,vifaa hivi vililetwa kwa mgen na alishukuru,lakin wakati mgen huyo akishukuru kwa kupatikana vifaa vyake alikuja kugundua pesa pamoja na vifaa vingine havipo(kwa mujibu wa maelezo ya mgen ambayo nimeyaona) mgen anasema pesa yake haikuwa kwenye beg lililokuwa limeibiwa Kwan pesa yake aliiweka kwenye safe belt ambayo hakuna mtu yoyote aliiona/kujua alikuwa nayo,
Baada ya yote hayo huyu muongozaji watalii,mtalii mwenyewe pamoja na baadhi ya watu waliokuwa wakimuongoza waliambiwa waandike maelezo,walifanya hivyo,na waka endelea na safari kama kawaida na mgen alimaliza safari yake salama,cha ajabu wakati wanatoka kwenye get la mwisho ,muongozaji watalii alikamatwa na kuwekwa sero(mahabusu ya national park) na jion yake alipelekwa kituo cha polis moshi,yeye pamoja na wenzake wawili,walikaa mpaka usiku wa saa nne ndipo mgen aliekuwa akimuongoza (pamoja na mwenyeji wa mgen)alipokuja kuwawekea dhamana na alishangaa sana kwa nini watu waliomsaidia wanafanyiwa ukatili wa namna ile wakati hata suala lenyewe halijafanyiwa uchunguzi,yeye mgen kwa maneno yake mwenyewe(nimeona barua yake)alisema anajua hatazipata pesa zake wala vifaa vyake,cha ajabu park walifungua jalada la wizi ,( yaan muongozaji wagen ndie anafunguliwa shtaka la wizi)kumbuka Askari ( ranger) ambaye ndio mlinzi wa kituo ameachwa na anaendelea na kazi mpk kesho!!
Aliye kuwepo zamu(Askari wa kituo cha polisi moshi )alimwambia Muhifadh wa kilimanjaro kuwa wao hawana mamlaka ya kuwafungulia hawa watu jalada la wizi ili hali aliefanyiwa/ibiwa hataki kesi,mkuu huyu wa hifadhi alisema wao wanajeuri hiyo na wanataka kuwakomesha ( guide) pamoja na wenzake,tukio hili liliendelea huku wakiwa wamemnyima muongozaji wagen kuingia ndan ya hifadhi ya kilimanjaro mpka suala lake litakapokwisha !
Katika kufuatilia suala hili national park hawakuwa wanataka kupeleka vielelezo angalau suala liende mahakaman ili sheria ichukue mkondo wake waliendelea kumsumbua/ kumzungusha huyu guide kadri wanavyo taka,ikiwa ni shughuli pekee anayoitegemea ( guide) aliamua kwenda kwenye kituo cha sheria na haki za binadam ( Lhrc ) hiyo ni baada ya miezi 5 kupita,alipatiwa usaidiz wa kisheria ambapo natiol park (Kilimanjaro ) waliandikiwa barua pamoja na kuulizwa ni vipengele vipi wametumia kumzuia (guide) asiingie ndan ya hifadh,lakin hawakuwa na jibu la moja kwa moja.walijibu suala hili liko kwenye upelelez pindi upelelez utakapo kamilika watamruhusu kufanya kazi au hatua zaid zitachukuliwa.
Baada ya hapo alisubir tena ndan ya miez miwili na kuulizia kinachoendelea (kwa barua ya Lhrc )lakin hakukuwa na majibu ya kuridhisha,baada ya sakata hili kufikia mwaka mmoja guide huyu aliamua kufungua kesi ya madai kupitia mwanasheria wa Lhrc (katika mahakama ya mkazi moshi)kesi iliendeshwa mpaka December 4/2015.
Hukumu katika kesi hiyo wanasheria wa national park walipeleka mapingamiz Yao kama ifuatavyo :- kwamba mlalamikaji ni mwajiriwa wa kilimanjaro national park hivyo shauri hilo lilipaswa lipelekwe kwenye mahakama ya kazi (kitu ambacho sio cha kweli maana guide ni watu wanaopewa kazi na makampun lakin sio national park)japokuwa id zao wanapewa na Kilimanjaro national park na zina employee signature
- walisema kesi iko kwenye upelelez hivyo sio vizuri mahakama kuendelea kuisikiliza
Baada ya mapingamiz hayo mahakama iliridhia na kusema haina uwezo wa kuisikiliza kesi hiyo..
Baada ya hiyo hukum mwongozaji huyo aliamua kuachana na kesi akaandika barua kwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro ili aweze kurudishiwa kitambulisho chake(tar 7/01/2016 )
Baada ya hiyo barua ofisi ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro waliwaandikia barua hifadhi ya mlima Kilimanjaro (barua)lakin mpaka hivi ninavyo andika hakuna majibu yoyote yaliyo rudi ofisin kwa mkuu wa mkoa, sasa najiuliza kama hawa wakuu wa mikoa ambao wapo kwenye kamati za ulinzi na usalama wanashindwa kutatua suala kama hili wanangoja mpka suala kama hili lifike ngaz I za juu ni sahihi kweli?kwa nini mnanyanyasa raia wasio kuwa na hatia kwa kiwango hiki?tunakuomba waziri wa Maliasili ingilia suala hili kwa kuonana na muhusika ili haki ipatikane.
Note..nimefupisha hii habari kwa sababu mm si mwana habari lakin kuna mengi yanafanywa kama waziri tunamshauri aonane na waongozaji wagen na porter bila kuwepo viongoz wao..wana mengi ya moyon ila hawana mahali pa kusemea maana hata viongoz wao wapo kwa ajili ya mat umbo Yao hakuna msaada wowote wanao wapa