This is for You......

.......why cant i be as lucky as other people out there??

“When life gives you lemons, make lemonade.” count your blessings bro....ujue kuna watu nao wanakulilia wivu bana!
 
"When life gives you lemons, make lemonade." count your blessings bro....ujue kuna watu nao wanakulilia wivu bana!
very true Mbu, but that doesnt remove those thoughts of "someone else's star
 
...for some reasons...i dont have those kind of thoughts anymore.,..am happy being me...
sasa sijui inatokana na umri?...ila, kwa kiwango kikubwa nimejiwezesha kujiaminisha na kujipendelea.
 
probably

but mie bado aisee.... sijui ndio naanza kukua?
 
...acha tu kamanda, ...haya mimi usiku huu na log out na hii;

Last edited by a moderator:
Dah! kunaendelea nini hapa?
kila mtu na mtuwe? wangu mimi yuko wapi?
hizi sadaka tuambizane jamani
 
samahani kwa kuwarudisha nyuma mh kuna ubeti umenigusa hapa eti\
........Siri iko, siri iko kwa Manaani, sio hapa , sio hapo dunianii
siwafichi, siwafichi abadani, siri yangu X 2 siri yangu ya moyoni X 2
La kwanza ni mkarimu, akiwa na mimi ndani
tena hapendi kunidhuliumu, ananienzi kwa hisani
Na pia ni msikiu akiwa na mimi ndani,
hapendi kunidhulumu, ananienzi kwa hisani
Tena amejaliwa hakuna mithili yake, walahi anaelewa ni wapi anishike
Walahi ninalelewa ni wapi anishike

Eti na mimi ninamshika natumia wangu uzoefu.................duh I wish
 
duh i wish MJ1...ipo siri!

Leo Mj1 wewe..........!!! Kuna watu wapo lucky bana asikwambie mtu. Mi naomba ufanye vice versa ili mwenzako nae akuimbie hayo mashairi!!
 
Eti darling I want you hata kwenye usingizi
Darling I like you kujizuia siwezi
Darling I love you nimepagawa kichizi
Ill never forget you, nakuahidi mpenzi

.......kila mtu na mtuwe, ni wewe wangu ayuni
Nimekupenda mwenyewe amini usiamini X 2
Uniridhishaye wewe , wewe ndiwe yangu mboni
Unayenipa kiwewe, hadi katika maini
Hatozuka mwingine, aliye ghali moyoni
Hadi nitakufa nawe, kiumbe wa Rahmani

Sema unacho kitaka,nikupe na cha zaidi
Kimahaba umenishika, dunia hii shahidi
Kimapenzi nimefika, wewe kwangu ni waridi
Darling ondoa shaka, tuepuke mahasidi...........................

Sichoshwi na yako dozi.....mh
 
Endelea kumwaga vyombo mi hapa nacopy na kupaste!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom