This is for You......

samahani kwa kuwarudisha nyuma mh kuna ubeti umenigusa hapa eti\
........Siri iko, siri iko kwa Manaani, sio hapa , sio hapo dunianii
siwafichi, siwafichi abadani, siri yangu X 2 siri yangu ya moyoni X 2
La kwanza ni mkarimu, akiwa na mimi ndani
tena hapendi kunidhuliumu, ananienzi kwa hisani
Na pia ni msikiu akiwa na mimi ndani,
hapendi kunidhulumu, ananienzi kwa hisani
Tena amejaliwa hakuna mithili yake, walahi anaelewa ni wapi anishike
Walahi ninalelewa ni wapi anishike

Eti na mimi ninamshika natumia wangu uzoefu.................duh I wish

Acha tu............................................................
 
Leo Mj1 wewe..........!!! Kuna watu wapo lucky bana asikwambie mtu. Mi naomba ufanye vice versa ili mwenzako nae akuimbie hayo mashairi!!
Kipipi...... I believe in playing my part...........nitamwimbia yote ili mradi ujumbe ufike. Akiamua kufungua masikio yakentashukuru akiamua kuyafunga sitoregret mradi nilijaribu!
 
kipipi hivi ulishawahi jiuliza kwanini mapenzi kitu cha ajabu sana au ni sie huwa haturidhiki na tulichonacho nimekumbuka MTM na wimbo wake

We acha tu dear, na ndio maana mpaka leo watu pamoja na kupenda/kupendwa/kupendana lakini bado wanajiuliza mapenzi ni nini?? Utapata raha zote duniani ila ya mapenzi ndo mwisho reli na ndo hapo unapomuona Mj1 anaamua kuimba utadhani kauona ufalme wa mbingu!! Hahahahaaaa lol!!
 
Kipipi.....
 
Hahah Kipipi laiti ungejua jinsi my heart ulivyo empty................. hii yote ni out of vi=oid my dia......Mapenzi!! Nakubali they were meant for others not me. Kama ni mbingu nitaisikia katika simulizi tu
 
...........cousin, hahahaaaaaaaaaaaaaaa!!! naona tartiiiiiiiiiiiiiiibu unajongea madhabahuni

hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hahahahaha!!! Lol Cousin mimi nakulaumu sana aisee ule wimbo wako wa jana hautaki kunitoka kichwani umeishakuwa kama national anthem sielewi ni kwani damn...lol!!!
 
its one of the song which sailed me through in the past, i took it positively and i am grateful for that!!!
 
Hahah Kipipi laiti ungejua jinsi my heart ulivyo empty................. hii yote ni out of vi=oid my dia......Mapenzi!! Nakubali they were meant for others not me. Kama ni mbingu nitaisikia katika simulizi tu

wewe??? Even the loners don't have that empty heart, hahahaaaa! If u have got that package of yours, then how could u say "love was not meant for u"???
 
we kipipi wewe!!acha tu..maneno yameniishia
We acha tu dear, na ndio maana mpaka leo watu pamoja na kupenda/kupendwa/kupendana lakini bado wanajiuliza mapenzi ni nini?? Utapata raha zote duniani ila ya mapenzi ndo mwisho reli na ndo hapo unapomuona Mj1 anaamua kuimba utadhani kauona ufalme wa mbingu!! Hahahahaaaa lol!!
 
Mh!

Siku huanza, siku huanza , jua lichomozapo, Na giza hutanda, na giza hutanda jua lizamapo.X 2
Ahadi hutimia pale MUNGU apendapo, Pia na moyo hupoa kizuri ukipatacho X 2
Sina cha kukuombea, zaidi ya maisha marefu, Tunu nimetunukiwa, kati yenu nyie maelfu X 2
Nami sitomuachia, natumia wangu uzoefu, Pia Nimeshamsadifia, kwa moyo mkunjufu X 2
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
wewe??? Even the loners don't have that empty heart, hahahaaaa! If u have got that package of yours, then how could u say "love was not meant for u"???
I just wish Kipipi, I just wish...................... usintoe machozi tafadhali.
 
Aisee!!! Umenifanya from nowhere nitafute album yake ni-download from the net
ana ngoma kule inaitwa i am not supposed to love you anymore.... master piece na nyingine inasema trees of heart... hiyo haina mfano maana jamaa walianza penzi wakiwa watoto hadi wanafika uzee... super
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom