This Diplomat has JPM's DNA

This Diplomat has JPM's DNA

Japo kuna mahali aliniumiza ila kwa wakati wake alijitahidi.

Soko la ajira aliliminya sana na akaajiri watu wake.

Let him Rest Well.
Mimi namuona kma failure president alikuwa na maono mazuri sana sana kwa nchi yake Ila aliaribu pale tamaa ilipoanza kumsukuma hasa wapambe walipopata nguvu ya ushawishi ndani yake.

Kutengeneza upendeleo wa kikabila, keki ya nchi kuliwa na wachache, kuaribu mfumo mzima wa ajira nchini kuanzia serikalini hadi sekta binafsi,kujali Maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu
 
Mimi namuona kma failure president alikuwa na maono mazuri sana sana kwa nchi yake Ila aliaribu pale tamaa ilipoanza kumsukuma hasa wapambe walipopata nguvu ya ushawishi ndani yake.

Kutengeneza upendeleo wa kikabila, keki ya nchi kuliwa na wachache, kuaribu mfumo mzima wa ajira nchini kuanzia serikalini hadi sekta binafsi,kujali Maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu
Mkuu,labda waweza kutufafanulia kidogo kuhusu uelewa wako kuhusu "keki ya nchi".

Tusemapo "Keki ya nchi" au "keki ya taifa" twamaanisha nini?

Karibu.
 
Huyu ndio aliyekuwa mhandisi mkuu wa kununua wabunge ambao walikuwa walikuwa wanajifanya eti wameunga mkono nia.Lakini pia huyu ndiye aliyekuwa mhandisi mkuu wa kuwaengua wenyeviti wa ssrikali za vijiji kwa kuwa eti wamekoseq kujaza fomu.Matokeo yake nchi nzima wagombea wa upinzani walipigwa chini.
Huyu jamaa ni bonge la snake.
 
This is the one.

This is the person who can inspire that section in our society.

The section which has now been discarded and neglected.

He has been given time to prepare himself and one day he will be come around.

He will lead that party we all want it to take over.

CCM don't need to be scared of it because its the party established by them, in them and with them.

Just confirm its existence and allow it to flourish.

I think comrade " The Diplomat" know what I mean.
Kweli kabisa mkuu Richard.

Wasichojuwa 90% ya Watz ni kuwa nchi hii bado inaishi kwenye maagano ya kiitikadi ambayo yamefanyika msingi wa siasa na tunu zake.

Maagano ya nchi hii kwa nafasi za uongozi za top 3 kitaifa ni kwamba lazima ima faima kiongozi wa nafasi hizo awe wa mrengo wa kushoto au kushoto kati.

Muumini wa mrengo wa kulia hawezi kupenya, atabaki kuota ndoto za uongozi na akijaribu kuingia kwa mlango wa bahati nasibu watahakikisha hamalizi awamu yake.

Sasa Mhe. Balozi ni wa mrengo wa kushoto kati kama alivyokuwa Magufuli. Bashiru ni wa mrengo wa kushoto kama alivyokuwa Nyerere. Big Ben, Mwinyi na JK ni wa mrengo wa kushoto kati.

Hakuna mtu wa mrengo wa kulia amewahi na atawahi kuongoza nchi hii. Hili ni agano lisilotanguka.

Hivyo Mhe. Polepole ana sifa za msingi (kimrengo/kiitikadi) za kuingia kwenye kundi la leadership materials kuliko wazee wa Mtama, Chalinze na Bumbuli.

Kuna vitu vingine kwenye nchi ni ngumu kuvibadilisha. Ukijaribu kuvibadilisha vitakubadilisha wewe.

Just that.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom