This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech


Generation ya hapa jamvini tupo tulioshiriki kwenye chaguzi za chama kimoja. Hadi wimbo wa jembe na nyundo wa Komba, 1985 naukumbuka. Na ninakumbuka jinsi nilivyoenda kuosha dole gumba langu lililolowana kwa wino kwa sabuni na mchanga.

Anyhow, kuna members wameshadokezea involvement ya Mwalimu katika kufanikisha kurudi kwa vyama vingi. Ndiyo yaweza kuwa miaka kumi tangu aachie urais, but we all are aware of the existence of leadership by proxy, aren't we?! Involvement yake kwenye CC na NEC mwaka 1995 si tumesimuliwa na kuisoma? Kweli wataka kusema mtu mwenye uwezo wa kumkemea Lowassa hadharani na kushinikiza Mkapa kuchaguliwa asingekuwa na influence yoyote ile kuwezesha vyama vingi sababu tu aliachia urais miaka kumi iliyopita?!
 
Huu wetu umechipuka wenyewe au umetengenezwa? interesting!

Nimechukulia kuchipuka kama kujitokeza na kukua taratibu. Mmea unapochipua, unakutana na vipingamizi vingi kama ukame, mafuriko, magugu,jua nk. Msingi wa hoja yangu ni jinsi NCCR ilivyopata nguvu za ghafla (za kutengenezwa na umaarufu wa Mrema) ambazo hazikuwa na msingi(mizizi) ktk chama na walipohujumiwa walitoweka kwenye ramani ya siasa kama barafu juani.

Mfano wa kuchipua ni Chadema-they started humbly! usidhani fitna walizofanyiwa NCCR, chadema hawafanyiwi. Wanafanyiwa sana ila elimu kidogo ya uraia ya wananchi inawasaidia kuwapa chadema nguvu, mfano watu wanaposikia kutoka CCM kwamba CDM ni chama cha wachaga, wasukuma wa mwanza wanakipa ridhaa, pamoja na propaganda hizo. Waposikia CDM ni chama cha fujo, watu wanajiunga ktk maandamano yao, pamoja na kwamba kuna risasi za askali-You don't get that overnight!

Angalia jinsi chadema ilivyokua kutoka 1995,2000, 2005 na 2010.CDM's trend is upward-growing! Leo chadema wanathubutu hata kuzungumzia uchaguzi ujao kwa matumaini mara tu baada ya kumaliza uchaguzi uliopita! Huku ndio kuchipua na kukua. Need I say more?
 
Kundi la hao wanafunzi wamekuja kushika madaraka baadaye; wameamua kulipizia kisasi.

... MKJJ, big up to you and your potential. No wonder, as you ever so correctly assume, its payback time. That explains what we call in Uswazi, roho mbaya za hao jamaa. Utafikiri nchi wanayoiharibu sio kwao.
God bless!
 
And he is a trillion times far better than JK.

No doubts!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 

You are inviting many questions!!! kwa hiyo Nyerere alilijua hilo au?
 

Gotcha!!
 
You are inviting many questions!!! kwa hiyo Nyerere alilijua hilo au?

Mkuu Ujamaa works very well on paper but History and Hindsight make us to know otherwise...,
No one could know it by them..., or are we now blaming Mwalimu for not being a Prophet to know that his ideas would be hard to implement ?;

Just tell me, what wrong with the means of production to be publicly or commonly owned and controlled co-operatively..., I will tell you the idea is perfect but Human beings due to their nature can not live like that..., And to know this you need time to look at the idea in practice to know it does not work..., the luxury which Mwalimu did not have...,
 
Lakini ni nani alihakiki kama mshahara wake ulikuwa unakatwa kweli 20%, wakati yeye ndio alikuwa over the top!?
 

MKJJ bana na Nyerere...that is real good, you know what. If you dont have a mentor you are simply an 'orphan' Thanks that Nyerere inspired you in extent that you feel bad when people talk 'negative' things about their father!!!

I dont think and will never believe that Kikwete is perusing this kind of Speech, I can mention some leaders that they may be persuing this kind of speech....not Kikwete

Kikwete is thinking of having cadillac one like this


 
Lakini ni nani alihakiki kama mshahara wake ulikuwa unakatwa kweli 20%, wakati yeye ndio alikuwa over the top!?
Hata kama hawakuhakikisha au hata kama lilikuwa changa la macho ila the thought kwamba your leader is in the same boat na nyie wananchi is a mark of a true leader..., kuliko sasa tunaona sio tu kwamba wakuu wetu wanaishi tofauti na sisi bali familia zao na marafiki zao wanaishi kama Wafalme, na wananchi wanaishi maisha mabaya kuliko hata ya watumwa (At least watumwa walihakikishiwa wanapewa chakula cha kutosha washibe ili waendelee kufanya kazi, sisi hata chakula tatizo...)
 
Lakini ni nani alihakiki kama mshahara wake ulikuwa unakatwa kweli 20%, wakati yeye ndio alikuwa over the top!?

Tungeona maghorofa yake au Charles Makongoro angekuwa tajiri kumshinda Ridhiwani
 

Nyerere had wisdom and enough talent to face challenges and problems...He knew how to lead people,he was there for people..Only his speech could make you retreat,lower your temper and listen carefully..The manners of good leadership have been swept away after his death..If you can remember when he was out of power and alive,he was still an instrumental in pointing out the wrong doing of CCM and the government at large to maintain the level of democracy and good governance he left..Today,there are no such manners..If you try to march to the white house or which ever ministry you wish to go and for whatever reasons,You will be luck if you can make 20 steps..They will be there to collect you and bomb you if they cant catch you..All this happen because we have leaders who cant say,cant talk to their people..Their wrong doing has swept away their confidence to face people and talk.They lack good manners of leadership and they cant even go back and review what their predecessors did!I am praying to God that we get another Nyerere,to turn us back to those days!! God bless Tanzania!!
 
20% of a determined learder was cut down, hawa wakwetu posho tu wala si mshahara wanatoana jicho. Hii Kali wandugu
 

Thank you Eng Burton,
Speaking quite frankly, I like your comment about Mwalimu Nyerere and, because of that I was prompted to login so as to thank you. The document of speech which Mwanakijiji has uploaded clearly depicts what many people believe to be the ability of thinking that Mwalimu possessed. Nyerere was undisputed skilled orator who was capable at connecting his brain with every word he could utter. He is a person who knew his people and did not fear them, he taught them, rebuked them while maintained loving them. In spite of that, just like what you have said, he was a human being like you and I and was prone to make mistakes. But when it comes to moral values, leadership and ability to solve problems, he is still distinguished from all his successors.
 
Mwanakijiji,
Kama utakuwa bado na treasures kama hizi ninaku-encourage uendelee kutuwekea maana vitu vingine tuna-tend kusahau au hatukuwepo wakati wa hizo events.
Good work man.
 
Thanks bro,huwa napenda sana hotuba za huyu mzee bt napata tabu sana kuzipata.Nakuomba utimize ahadi yako ya kuiweka kwenye PDF.Big up sana MM.
 
Nyerere was more a talker:

[FONT=georgia, bookman old style, palatino linotype, book antiqua, palatino, trebuchet ms, helvetica, garamond, sans-serif, arial, verdana, avante garde, century gothic, comic sans ms, times, times new roman, serif]Well done is better than well said. ~Benjamin Franklin
[/FONT]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…