Hii terminal ni ya kitoto sana, Hii serikali ya ajabu sana,
Ritz,punda wenu mmeshawaekea ruti ya kubebea viroba??!!
Kwa ufanisi huu mradi ni wizi ntupu kwani mahitaji hayajazingaftia mipango ya mda mrefu kwani obviously baada ya 30 yrs utakua umepitwa na wakat
30 year ni mingi sana, usishangae 2016 wanaanza tena kubomoa kwa ajili ya kupanua, hii nchi wana plan za mwaka tu, Huwa najiuliza ilikuwaje Wakajenga Stend ya Mabasi Ubungo and then leo hii wanaibomo sijui kuipeleka wapi. na huko zinako pelekwa baada ya miaka mitano utasikia zinahamishwa tena
Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.
Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!
Usiige kunya kwa tembo.
Huo unatutosha kutokana na uwezo wetu, tukitaka tujenge kama cha Cape town international airport, tutakula majani humu kama ilivyokua kwenye ununuzi wa ndege ya Rais
Kama hii unaita ya kitoto, ya kikubwa ipoje? Au baba yako aliwahi kupanda ndege weweHii terminal ni ya kitoto sana, Hii serikali ya ajabu sana,