Third terminal at Dar es Salaam airport

Third terminal at Dar es Salaam airport

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,406
Reaction score
43,740
Wanaukumbi.

The Tanzania Civil Aviation Authority has awarded the contract for a third terminal at Dar es Salaam's Julius Nyerere international airport to the Royal BAM Group of Holland’s BAM International.

The Dutch company will oversee the design and construction of the new terminal which will be built in two phases in a joint venture with British sister company BAM Nuttall.

When completed Terminal 3 will facilitate 6 million passengers annually – in line with the predicted growth of Dar es Salaam's international air traffic – leaving the current international Terminal 2 to deal with domestic flights.

The first phase of the project will cost over €130 million and involves the construction of the main terminal building. This will facilitate 3.5 million people, while the second phase will serve a further 2.5 million.

The airport was originally designed to handle an annual capacity of about 1.2 million passengers however in 2012 over 2 million passengers passed through the airport.

BAM International renovated the airport in a two-phase project in 2006 and 2010.

90bittg6c.jpg

dar-es-salam-exterior-1-61-1367838742645428762.jpg
 
Ritz,punda wenu mmeshawaekea ruti ya kubebea viroba??!!

Kwa ufanisi huu mradi ni wizi ntupu kwani mahitaji hayajazingaftia mipango ya mda mrefu kwani obviously baada ya 30 yrs utakua umepitwa na wakat
 
nadhan hiyo airport watatumia vitukuuu vyetu
 
Ritz,punda wenu mmeshawaekea ruti ya kubebea viroba??!!

Kwa ufanisi huu mradi ni wizi ntupu kwani mahitaji hayajazingaftia mipango ya mda mrefu kwani obviously baada ya 30 yrs utakua umepitwa na wakat

30 year ni mingi sana, usishangae 2016 wanaanza tena kubomoa kwa ajili ya kupanua, hii nchi wana plan za mwaka tu, Huwa najiuliza ilikuwaje Wakajenga Stend ya Mabasi Ubungo and then leo hii wanaibomo sijui kuipeleka wapi. na huko zinako pelekwa baada ya miaka mitano utasikia zinahamishwa tena
 
Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.

Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!
 
Huo uwanja haujatulia .... bongo tunatia aibu!
 
Mkuu Ritz wewe umewahi kutua Heathrow Airport terminal Four, sasa hawa wa Holanzi na ma Brit kwa nini awadesign TERMINAL ya kufa mtu i.e inayo kwenda na wakati? Walao ifikie nusu ya ya terminal four - 'am afriad kutamka kwamba design hii inaonekana ya kawaida kabisa inashindwa hata Airport ya Luton Midland, binafsi nashauri Serikali ibane wazungu hawa wasije wakatuzuga hapa, washinikizwe ili wa re-design TERMINAL hiyo upya ili iendane na hadhi ya ya jiji letu linalo kua exponentially. Mkuu Ritz au jamaa hawa wametupa ruzuku nini, ndio wanataka kubania fedha zao na kutupatia jengo nyoronyoro, ukiangalia nyuma ya jengo linaonekana kama Gowdown la kuhifadhia ngano ya Bakheresa hii wapi na wapi mkuu. Kazi ya ku-design na kujenga wawape WACHINA hao ndio wanao kwenda na wakati, Waingereza na Waholanzi hawabadiriki ndio maana utakuta miji yao imejaa majengo ya design ya miaka ya 1700s, hata pale London jengo linalo vutia ni British Telcom Tower, hawa jamaa hawabadiriki! Hivi terminal hiyo inaweza ku-handle Airbus 380s kweli?
 
Usiige kunya kwa tembo.
Huo unatutosha kutokana na uwezo wetu, tukitaka tujenge kama cha Cape town international airport, tutakula majani humu kama ilivyokua kwenye ununuzi wa ndege ya Rais
 
Uwanja gani huu mnaita international!
Ritz pamoja Na kutembea kote huko majuu unakuja Na kusifia uwanja ambao huko nje ni Wa mtu Au kampuni binafsi!
 
Ni kasi ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM from 1.2 mil to 6 mil.

Big Results NOW...
 
Ukiangalia ukubwa wa Jomo Kenyatta International Airport lakini bado sasahivi serikali ya Kenya inafanya uwekezaji wa kutosha katika kuupanua na kukarabati majengo ya zamani na kuyafanya ya kisasa zaidi, pamoja na kuongeza ''run ways" ndipo utagundua kuwa serikali ya ccm imo shimoni inasubiri kumwagiwa udongo tu.

Yaani watu hawawezi kufukiria kujenga uwanja utakaohimili matumizi kwa miaka 30-50 ijayo wao wanafikiria umbali wa pua zao eti watu milioni 3!!!

Mwita Maranya.

Haujaona airport ndiyo maana unapenda kuitaja Jomo Kenyatta, haiwezi hata kuwemo kwenye airport kumi bora afrika, toa mfano
OR Tambo, Cape Town, Cairo.
 
Last edited by a moderator:
Uwanja gani huu mnaita international!
Ritz pamoja Na kutembea kote huko majuu unakuja Na kusifia uwanja ambao huko nje ni Wa mtu Au kampuni binafsi!
Mkuu mie nimeleta huu wanaukumbia wachangie sijaongeza kitu wala kupunguza kitu.
 
Usiige kunya kwa tembo.
Huo unatutosha kutokana na uwezo wetu, tukitaka tujenge kama cha Cape town international airport, tutakula majani humu kama ilivyokua kwenye ununuzi wa ndege ya Rais

Mkuu ni kweli tusiige kunya kwa tembo. Mimi nadhani wataalamu wameangalia na ukubwa wa eneo lililopo ndo maana wamekubaliana na design hii ya uwanja . Viwanja vya wenzetu wao wamejenga kwenye maeneo makubwa kiasi kwamba hata wakitaka kufanya upanuzi haiwawii shida. Tatizo la Jnia ni ufinyu wa eneo. Laity kama serikali ingezuia maeneo ya kitunda,jet lumo n.k toka miaka ile ya nyuma watu waijenge makazi, nadhani upanuzi ungekuwa mkubwa sana kwa kuwa wangekuwa na eneo la kutosha la kujenga uwanja km wa London
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom