chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,553
- 2,074
Very wisefuly
Well said, my learned brotherMwenyezi Mungu amenijalia akili ya kufikiri. Naitumia kufikiri vyema kuhusu 'saga' inayoendelea ndani ya CCM. Nimeamua kufikiri vingine tofauti na kuona kuna mtifuano ndani ya CCM na hivyo tuendelee kukaa mkao wa kula kuona mwisho wake. CCM ni mafundi na mabingwa wa kutengeneza matukio na wapinzani feki.
Wenye kuangalia vyema, kwa undani na kwa umakini watakubaliana nami kuwa CCM huanzisha songombingo kama lililopo sasa kila unapokaribia uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani. Anzia mwaka 1995 (Mzee Mrema alipohama CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi).....kumbuka 2000 (Prof. Lipumba 'alipotikisa' ).....fuatia 2010 (Dr. Slaa alipomkosesha usingizi Mzee Kikwete) na tena usisahau 2015(Lowassa alipohamia CHADEMA na kuwa mgombea wao)
Fikirini tena na kwa umakini. Matukio yanayoendelea ndani ya CCM si ya bahati mbaya. Ni matukio yanayoratibiwa kwa umakini mkubwa na yenye tija kwa chama hicho. Wakati umma na upinzani ukijihusisha na matukio hayo, CCM huitumia nafasi hiyo kujipanga na kufanya mambo yao bila ya kujadiliwa. Mwisho wa matukio haya huwa na zao la 'wapinzani feki' watakaomwagwa kuelekea upinzani kuteka Majimbo na Kata. Na hata kuwa wagombea wa Urais.
Hakika, CCM ni very intelligent and genius katika kutengeneza matukio na wapinzani feki. Hupoteza maboya sana katika kukaribia uchaguzi mkuu. Kwa hilo wanahitaji pongezi!
Waione: Kiranga , tindo , BAK , Evarist Chahali , Daudi Mchambuzi, manengelo , Pascal Mayalla, hearly na wengineo
Wapinzani hawajifunzi...hawajawahi kujifunza kwenye lolote.CCM itaendelea kuwepo kwa muda sana aiseeNgoja uone watakavyoshikana mikono na kukumbatiana wakiaminisha umma kuwa wao ni wamoja na wanaweza kutatua changamoto
Nashukuru Mungu nimeanza kuona wapo watu kama nyie. Ule uchaguzi wa 2015 ulinipa funzo na nawashangaa mno wanaoanza tena kushabikia akina Membe!Yaani wewe ni miongoni mwa watu wachache hapa nchini wenye macho ya kuona mbali.
Furaha ya vyama vya upinzani nchini ni kuona mmomonyoko kwenye chama tawala na bahati mbaya iliyopo kwetu sisi watanzania ni wepesi sana KUSAHAU (sisi hatutunzi kumbukumbu). 2015 sakata la Lowasa na CCM lilileta taharuki nchini hadi EL anaenda upinzani na kupewa kijiti cha kupeperusha bendera ya wapinzani.
Tumesahau figisu alizopata WS na kuondoka CHADEMA na hatimaye EL anakuja kuonekana ni tegemeo la mwisho kwa wapinzani na akapewa majukumu ya kuwapeleka kunako nchi ya ahadi.
Kwanini tu wepesi kusahau hivi? Kwanini kila leo tumekuwa watu wa kufurahia mtikisiko wa CCM badala ya watu kukaa na kutengeneza upinzani imara usiotegemea ugomvi wa CCM. Mwenyekiti wa CHADEMA na viongozi wakuu wa chama hicho wala hawana nia ya kutwaa dola hapa nchini na mkitaka kuamini angalieni mwenendo wao chamani, haitakuja kutokea siku CCM ikatoka madarakani kama ambavyo wengi mnaamini endapo bado mtakuwa wazito katika kutunza kumbukumbu.
Sijawahi kuona chama cha upinzani nchini chenye nia ya kuchukua dola....
Mwenyezi Mungu amenijalia akili ya kufikiri. Naitumia kufikiri vyema kuhusu 'saga' inayoendelea ndani ya CCM. Nimeamua kufikiri vingine tofauti na kuona kuna mtifuano ndani ya CCM na hivyo tuendelee kukaa mkao wa kula kuona mwisho wake. CCM ni mafundi na mabingwa wa kutengeneza matukio na wapinzani feki.
Wenye kuangalia vyema, kwa undani na kwa umakini watakubaliana nami kuwa CCM huanzisha songombingo kama lililopo sasa kila unapokaribia uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani. Anzia mwaka 1995 (Mzee Mrema alipohama CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi).....kumbuka 2000 (Prof. Lipumba 'alipotikisa' ).....fuatia 2010 (Dr. Slaa alipomkosesha usingizi Mzee Kikwete) na tena usisahau 2015(Lowassa alipohamia CHADEMA na kuwa mgombea wao)
Fikirini tena na kwa umakini. Matukio yanayoendelea ndani ya CCM si ya bahati mbaya. Ni matukio yanayoratibiwa kwa umakini mkubwa na yenye tija kwa chama hicho. Wakati umma na upinzani ukijihusisha na matukio hayo, CCM huitumia nafasi hiyo kujipanga na kufanya mambo yao bila ya kujadiliwa. Mwisho wa matukio haya huwa na zao la 'wapinzani feki' watakaomwagwa kuelekea upinzani kuteka Majimbo na Kata. Na hata kuwa wagombea wa Urais.
Hakika, CCM ni very intelligent and genius katika kutengeneza matukio na wapinzani feki. Hupoteza maboya sana katika kukaribia uchaguzi mkuu. Kwa hilo wanahitaji pongezi!
Waione: Kiranga , tindo , BAK , Evarist Chahali , Daudi Mchambuzi, manengelo , Pascal Mayalla, hearly na wengineo
Mwenyezi Mungu amenijalia akili ya kufikiri. Naitumia kufikiri vyema kuhusu 'saga' inayoendelea ndani ya CCM. Nimeamua kufikiri vingine tofauti na kuona kuna mtifuano ndani ya CCM na hivyo tuendelee kukaa mkao wa kula kuona mwisho wake. CCM ni mafundi na mabingwa wa kutengeneza matukio na wapinzani feki.
Wenye kuangalia vyema, kwa undani na kwa umakini watakubaliana nami kuwa CCM huanzisha songombingo kama lililopo sasa kila unapokaribia uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani. Anzia mwaka 1995 (Mzee Mrema alipohama CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi).....kumbuka 2000 (Prof. Lipumba 'alipotikisa' ).....fuatia 2010 (Dr. Slaa alipomkosesha usingizi Mzee Kikwete) na tena usisahau 2015(Lowassa alipohamia CHADEMA na kuwa mgombea wao)
Fikirini tena na kwa umakini. Matukio yanayoendelea ndani ya CCM si ya bahati mbaya. Ni matukio yanayoratibiwa kwa umakini mkubwa na yenye tija kwa chama hicho. Wakati umma na upinzani ukijihusisha na matukio hayo, CCM huitumia nafasi hiyo kujipanga na kufanya mambo yao bila ya kujadiliwa. Mwisho wa matukio haya huwa na zao la 'wapinzani feki' watakaomwagwa kuelekea upinzani kuteka Majimbo na Kata. Na hata kuwa wagombea wa Urais.
Hakika, CCM ni very intelligent and genius katika kutengeneza matukio na wapinzani feki. Hupoteza maboya sana katika kukaribia uchaguzi mkuu. Kwa hilo wanahitaji pongezi!
Waione: Kiranga , tindo , BAK , Evarist Chahali , Daudi Mchambuzi, manengelo , Pascal Mayalla, hearly na wengineo
Tatizo jingine linaanzia kwenye dhana hii inayoonekana hapa mwishoni mwa maelezo yako, kwamba upinzani ni LAZIMA utoke CHADEMA.Yaani wewe ni miongoni mwa watu wachache hapa nchini wenye macho ya kuona mbali.
Furaha ya vyama vya upinzani nchini ni kuona mmomonyoko kwenye chama tawala na bahati mbaya iliyopo kwetu sisi watanzania ni wepesi sana KUSAHAU (sisi hatutunzi kumbukumbu). 2015 sakata la Lowasa na CCM lilileta taharuki nchini hadi EL anaenda upinzani na kupewa kijiti cha kupeperusha bendera ya wapinzani.
Tumesahau figisu alizopata WS na kuondoka CHADEMA na hatimaye EL anakuja kuonekana ni tegemeo la mwisho kwa wapinzani na akapewa majukumu ya kuwapeleka kunako nchi ya ahadi.
Kwanini tu wepesi kusahau hivi? Kwanini kila leo tumekuwa watu wa kufurahia mtikisiko wa CCM badala ya watu kukaa na kutengeneza upinzani imara usiotegemea ugomvi wa CCM. Mwenyekiti wa CHADEMA na viongozi wakuu wa chama hicho wala hawana nia ya kutwaa dola hapa nchini na mkitaka kuamini angalieni mwenendo wao chamani, haitakuja kutokea siku CCM ikatoka madarakani kama ambavyo wengi mnaamini endapo bado mtakuwa wazito katika kutunza kumbukumbu.
Sijawahi kuona chama cha upinzani nchini chenye nia ya kuchukua dola....
Wasomi wetu mnatuangusha sanaHayo huhalalisha Mkuu….jiongeze
Kivipi mkuu?Wasomi wetu mnatuangusha sana
Kutakuwa na kupita bila kupingwa kwa nafasi zote? Itakuwa si mchezo!Kaka labda nikujibu kwa uzalendo tu mwakani hakutokua na uchaguzi iwe jua iwe mvua
Kumbe jibu unalo kwann tuingie kwenye machafuko wakati ukweli unajulikana? Laiti Kama tume ya uchaguzi Ingekuwa huru haichaguliwi na rais hakika ccm ni wepesi Kama tishu tuKutakuwa na kupita bila kupingwa kwa nafasi zote? Itakuwa si mchezo!