Thinking beyond measures: CCM ni 'mafundi' wa kutengeneza 'matukio' na 'Wapinzani feki'

hamna lololote.hili tukio lilivyo ndivyo lilivyo membe hakuridhika na magufuli toka 2015 na ikabaki hivyo.nao walikuwa wanamvumilia wamefikia hatua wameshindwa.mbona hili lipo wazi halihitaji hata kutumia darubini.

Hakuna cha kutafakari au kutumia akili ya ziada hapa.ni suala la kawaida na lipo waz kabisa. Msitake kujipa akili ambazo hamna .

Mwenyezi Mungu amenijalia akili ya kufikiri. Naitumia kufikiri vyema kuhusu 'saga' inayoendelea ndani ya CCM. Nimeamua kufikiri vingine tofauti na kuona kuna mtifuano ndani ya CCM na hivyo tuendelee kukaa mkao wa kula kuona mwisho wake. CCM ni mafundi na mabingwa wa kutengeneza matukio na wapinzani feki.

Wenye kuangalia vyema, kwa undani na kwa umakini watakubaliana nami kuwa CCM huanzisha songombingo kama lililopo sasa kila unapokaribia uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani. Anzia mwaka 1995 (Mzee Mrema alipohama CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi).....kumbuka 2000 (Prof. Lipumba 'alipotikisa' ).....fuatia 2010 (Dr. Slaa alipomkosesha usingizi Mzee Kikwete) na tena usisahau 2015(Lowassa alipohamia CHADEMA na kuwa mgombea wao)

Fikirini tena na kwa umakini. Matukio yanayoendelea ndani ya CCM si ya bahati mbaya. Ni matukio yanayoratibiwa kwa umakini mkubwa na yenye tija kwa chama hicho. Wakati umma na upinzani ukijihusisha na matukio hayo, CCM huitumia nafasi hiyo kujipanga na kufanya mambo yao bila ya kujadiliwa. Mwisho wa matukio haya huwa na zao la 'wapinzani feki' watakaomwagwa kuelekea upinzani kuteka Majimbo na Kata. Na hata kuwa wagombea wa Urais.

Hakika, CCM ni very intelligent and genius katika kutengeneza matukio na wapinzani feki. Hupoteza maboya sana katika kukaribia uchaguzi mkuu. Kwa hilo wanahitaji pongezi!

Waione: Kiranga , tindo , BAK , Evarist Chahali , Daudi Mchambuzi, manengelo , Pascal Mayalla, hearly na wengineo
 
Kalaghabaho na ubozi wako!
 
Kwamba ili wawatishe wengine wasithubutu? Kama kachero mbobezi kakubali kucheza movie hiyo ajue ina athari hasi kwake

Kama script imeandaliwa kwa umahiri hana cha kupoteza, picha linaanza mbobezi anaenda kupeperusha bendera ya jirani.... kumbe ni jeshi moja yupo kwa mkopo tu.
 
Just a conspiracy theory, hakuna tukio la kutengeneza, haya matukio yamekuja automatic kwa sababu ya udikteta uchwara
Every thing happen for reason buddy.Siyo lazima bwana Membe awe ameridhia kuwa sehemu ya mpango huo, anaweza akajikuta ni sehemu ya mpango bila yeye kujua.
Haya tunayoyaona Sasa ni matokeo ya mipango mingi ambayo inafanyika nyuma ya Pazia. CCM wanacheza mchezo ule ule wa 2015.Walikuja na plan ya kumkata Lowassa na wakatengeneza mazingira ya kumtumia kuuvuruga UKAWA. Walichokifanya ni kuipa nguvu ACT ili kuwalazimisha CDM wamchukue Lowassa kwa hofu asiende ACT.
kumbukeni like bifu la CDM na ACT, na walifanya hivo wakiwa na uhakika Lowassa kwenda CDM angesababisha mpasuko UKAWA.
Sasa wamemfukuza uanachama Membe wakati huo huo ACT inazidi kuwa Mcharo. So Kama Membe ataamua kutimiza ndoto yake CDM watalazimika kumchukua au wamuache aende ACT ili wagawane kura au wamuchukue aende CDM ili alete mtafaruku na kundi Lissu.
Kwa ufupi ni ukikaa Nchale, ukisimama Nchale!
 
Mwenyezi Mungu amenijalia akili ya kufikiri. Naitumia kufikiri vyema kuhusu 'saga' inayoendelea ndani ya CCM. Nimeamua kufikiri vingine tofauti na kuona kuna mtifuano ndani ya CCM na hivyo tuendelee kukaa mkao wa kula kuona mwisho wake. CCM ni mafundi na mabingwa wa kutengeneza matukio na wapinzani feki.

Wenye kuangalia vyema, kwa undani na kwa umakini watakubaliana nami kuwa CCM huanzisha songombingo kama lililopo sasa kila unapokaribia uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani. Anzia mwaka 1995 (Mzee Mrema alipohama CCM na kugombea Urais kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi).....kumbuka 2000 (Prof. Lipumba 'alipotikisa' ).....fuatia 2010 (Dr. Slaa alipomkosesha usingizi Mzee Kikwete) na tena usisahau 2015(Lowassa alipohamia CHADEMA na kuwa mgombea wao)

Fikirini tena na kwa umakini. Matukio yanayoendelea ndani ya CCM si ya bahati mbaya. Ni matukio yanayoratibiwa kwa umakini mkubwa na yenye tija kwa chama hicho. Wakati umma na upinzani ukijihusisha na matukio hayo, CCM huitumia nafasi hiyo kujipanga na kufanya mambo yao bila ya kujadiliwa. Mwisho wa matukio haya huwa na zao la 'wapinzani feki' watakaomwagwa kuelekea upinzani kuteka Majimbo na Kata. Na hata kuwa wagombea wa Urais.

Hakika, CCM ni very intelligent and genius katika kutengeneza matukio na wapinzani feki. Hupoteza maboya sana katika kukaribia uchaguzi mkuu. Kwa hilo wanahitaji pongezi!

Waione: Kiranga , tindo , BAK , Evarist Chahali , Daudi Mchambuzi, manengelo , Pascal Mayalla, hearly na wengineo
Wajinga wameshindwa kutatua changamoto wananchi na wafanyakazi wamekalia kurundika hela kweye miradi lukuki isiyo sogea.
Kununua viongozi wa upinzani kwa milioni 200 huku watumishi na mashule hayana madawati ni mkakati wa kijinga sana.

Kununua wapinzani hakuondoi changamoto za wananchi na wafanyakazi wala hakuhamishi wapiga kura wapumbavu wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every thing happen for reason buddy.Siyo lazima bwana Membe awe ameridhia kuwa sehemu ya mpango huo, anaweza akajikuta ni sehemu ya mpango bila yeye kujua.
Haya tunayoyaona Sasa ni matokeo ya mipango mingi ambayo inafanyika nyuma ya Pazia. CCM wanacheza mchezo ule ule wa 2015.Walikuja na plan ya kumkata Lowassa na wakatengeneza mazingira ya kumtumia kuuvuruga UKAWA. Walichokifanya ni kuipa nguvu ACT ili kuwalazimisha CDM wamchukue Lowassa kwa hofu asiende ACT.
kumbukeni like bifu la CDM na ACT, na walifanya hivo wakiwa na uhakika Lowassa kwenda CDM angesababisha mpasuko UKAWA.
Sasa wamemfukuza uanachama Membe wakati huo huo ACT inazidi kuwa Mcharo. So Kama Membe ataamua kutimiza ndoto yake CDM watalazimika kumchukua au wamuache aende ACT ili wagawane kura au wamuchukue aende CDM ili alete mtafaruku na kundi Lissu.
Kwa ufupi ni ukikaa Nchale, ukisimama Nchale!
Kwa mtazamo wangu Mh Membe akienda ACT anakwenda kugawa kura za CCM na siyo CHADEMA hivyo ni hatari zaidi kwa CCM kukubali Membe apeperushe bendera ya ACT; labda wamwache halafu watafute makosa kwenye fomu yake aachwe kuteuliwa. 2015 wingi wa kura za CHADEMA zilitokana na wana CCM na siyo CUF, TLP, NCCR au ACT.
 
Back
Top Bottom