[emoji3][emoji3], ila ulienjoy bana, kwa wakati huo hata maumivu ya nauli hayapo, unawaza ukamwone baby tu Kigomaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teache me how
Pole sana kwa kupotelewa na vyeti. Ulifanya ufala wa kiwango kikubwa kwenda na vyeti og.
Route yangu ya kwanza ndefu enzi hizo ilikuwa kutoka Tbr to Musoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliachana kimzaha sana japo tunawasiliana kidogo.
Tuliachana kimzaha sana japo tunawasiliana kidogo.
Tatizo, alitaka tuoane ndani ya miezi 3 baada ya kuwa wapenzi!!!!!!
Na wakati huo hata kazi sikuwa nayo!
Aliumia sana, lakini kwa wakati huo nisingeweza. Na hata kama ningekuwa vizuri niliona ingekuwa haraka sana. Japo kuwa lawama zote anazitupiaga kwangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nipo sawa tu mkuu...pombe ni starehe tu mkuu, wala hakuna jambo linalonisumbua,.karibu mkuu hapa napiga mbili tatuNisamehe mkuu:
Nahisi kuna jambo haliko sawa kwako.
Unaonekana ni kijana mdogo lakini inaonyesha unapiga pombe sana.
Jaribu kukutana na wataalamu wa saikolojia upate ushauri.
Sio lazima niwe sahihi lakini
Sent using Jamii Forums mobile app