Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Ili akaoneshe.Kama unaenda kwa demu then unabeba vyeti, kweli ulikua fala sana!
Nilikua nazuga nyumbani mpaka leo siaminiKama unaenda kwa demu then unabeba vyeti, kweli ulikua fala sana!
We ni msukuma?Kitu gani cha ajabu au cha thamani ulishawahi kufanya kwa ajili ya mapenzi?
Mimi nilisafiri kutoka Mbeya Mpaka Kigoma kumfuata manzi bila mtu kujua home wiki nzima sionekani nikadanganya niko kwenye interview Dar njiani buss lilitekwa nilipoteza kila kitu hadi vyeti nikikumbuka najiona fala sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Just do mzee hiyo atomatic inatokeaga unajikuta umefanya ujingaI need to do things for love
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka sanaWe ni msukuma?
Unaenda kwa demu na vyeti? Wanaume tunaenda kwa wapenzi wallet ikiwa imeshiba...
We Jamaa fala sana asee. Wengine tunaenda kwa wapenzi kugegeda wewe unaenda kuhakikiwa vyeti... umetudhalilisha sana wapambanaji
Mwanangu mpaka leo sijui demu yuko wapi yule ms**** alinialibia maishaJamaa fala sana asee. Wengine tunaenda kwa wapenzi kugegeda yeye anaenda kuhakikiwa vyeti... katudhalilisha sana wapambanaji
Pole sana. Mgegede shosti yakeMwanangu mpaka leo sijui demu yuko wapi yule ms**** alinialibia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hatari sanaMapenzi ndivyo yalivyo,ni sehemu ya maisha na kuweka historia katika safari yako ya mapenzi ukiwa hapa duniani
Na mmeachana vilevileKitu gani cha ajabu au cha thamani ulishawahi kufanya kwa ajili ya mapenzi?
Mimi nilisafiri kutoka Mbeya Mpaka Kigoma kumfuata manzi bila mtu kujua home wiki nzima sionekani nikadanganya niko kwenye interview Dar njiani buss lilitekwa nilipoteza kila kitu hadi vyeti nikikumbuka najiona fala sana.
Sent using Jamii Forums mobile app