They said;Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, women, money, etc etc...are a man's worst enemies,and the man who runs away from his enemies is a COWARD!
Walisema;Pombe, bia, sigara, wanawake, pesa, n.k, n.k., ...ni adui wakubwa wa Mwanaume.Na Mwanaume anayekimbia adui zake ni MJINGA!
I say;I am not running from my enemies.....am simply walking away coz am THE LAST MAN STANDING.
Lakini mimi nasema;Siwakimbii maadui zangu...ninaondoka taratibu kutoka kwenye uwanja wa vita...kwani mimi ndiyo MWANAUME WA MWISHO NILIYEBAKI NIMESIMAMA!
They said;If you can't beat them, join them.
Walisema;Kama huwezi kuwashinda/kuwapiga, jiunge nao.
I say;After you've conquered them all,why stick around!??
Lakini mimi nasema;Baada ya kuwashinda,kuna haja gani ya kubaki karibu yao!??(Nimejaribu rough translation, nadhani inaeleweka sasa...)...
CHONDE CHONDE....ULEVI, NOUMER!