These were jf addicted members those days... wako wapi?

Ooooohhhhh, wakati huu mimi niko huku mkoani Katavi, msimu wa kilimo umeanza, hivyo nawajibika.Kwa mbali nikipata nafasi naingia JF na kufuatilia kiinachoendelea, kama ninavofanya sasa.

niletee zawadi Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
Yaan hapo ndipo unaona jinsi gani watu walikuwa wamebadili ID zao, walivyoona wanaitwa tu wajaingia kwa ID zao za zamani na kuitika make walivyoitwa wamekuja utadhani walikuwa na taarifa kuwa wataitwa....

Ni mtazamo tu... Samahanini lakin
 
Kuna wengine wametangulia mbele za haki R.I.P Wengine wamebadili mfumo wa maisha lakini kuna ambao wamechezea life ban
 
Kuna wengine wametangulia mbele za haki R.I.P Wengine wamebadili mfumo wa maisha lakini kuna ambao wamechezea life ban

hapo kwenye kifo sina hakika sana..... hivi hakuna namna ambavyo tunaweza kupata taarifa?
 
Nyakati zinabadilika, majukumu yameongozeka, priority zimebadilika; umefika wakati wa utekelezaji kwa vitendo...

Uhali gani First Born; # Mbu, MwanajamiiONE
 
Nyakati zinabadilika, majukumu yameongozeka, priority zimebadilika; umefika wakati wa utekelezaji kwa vitendo...

Uhali gani First Born; # Mbu, MwanajamiiONE

niko njema sana FREEma agyema hata mm kuna muda nilitoka kidogo.. niliporudi nikaona marafiki niliokuwa nao hawapo

tetesi ni kwamba wengine wamebadili id, wengine wameachana na jf na wengine wametangulia mbelr ya haki..

nimefurahi ww badi upo.
 
Last edited by a moderator:
Ulezi bana, ngoja watoto wakue kue kidogo wasije wakashinda njaa na pampers zilizojaa mkojo kisa mamii ipo busy na JF. :couch2:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…