These were jf addicted members those days... wako wapi?

Nipo best ila nimekuwa mama siku hizi so kulea na majukumu ya taifa yamenibana but huwa nachungulia nikipata muda :cool2::A S 11:
Pole kwa majukumu ya kulea Maria Roza.Ulikuwaga malkia kwenye jukwaa fulani hivi (silitaji)na huko nimekumiss sana mammy. Namwonea sana wivu Mr wako!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, wadau kadhaa tuliowazoea hawaonekani. Naongeza hawa: Rejao, Judgement, Lady doctor. Kwenye list yako, kuna niliowawekea alama 11. Hao wapo na wamejikita kwenye majukwaa maalumu hawarandirandi kama zamani. Crashwise kajichimbia siasani, anaripoti sana chaguzi za CHADEMA. Rutashubanyuma yupo sana kwenye sheria.
 
Last edited by a moderator:
Mbona nipo sana tu, mkuu! Sema tunapishana. We ukiingia huku mi natokea kule. Asante kwa kunikumbuka...
 
Mimi akija Smile hapa, nitajisikia poa sana. Ni muda mrefu sana sijamuona.
 
Last edited by a moderator:
Ooooohhhhh, wakati huu mimi niko huku mkoani Katavi, msimu wa kilimo umeanza, hivyo nawajibika.Kwa mbali nikipata nafasi naingia JF na kufuatilia kiinachoendelea, kama ninavofanya sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…