There is NO need of Masters Degree for an Entrepreneur | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

There is NO need of Masters Degree for an Entrepreneur

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kingdom_man, Feb 1, 2011.

 1. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Habari wanajamvi!
  My concern leo ni vikwazo vilivotawala vijana wa sasa eti mpaka wawe na Masters Degree ndio watoke kimaisha, matokeo yake wanatumia muda mwingi vyuoni badala ya kupractice kile kidogo walichosoma kwenye Degree ya kwanza ambapo napo nakumbuka ni topics 3 tu zinazo apply katika maisha yangu ya sasa nazo ni INVESTMENT PROJECTS, INFORMANTION SYSTEMS, STRATEGIC PLANNING, basi sasa ina maana gani kuendelea kupoteza muda vyuoni kwa miaka 3 - 4, badala ya kuingia mtaani na kufanya practical
  Elimu ni kama chakula unakula na kukifanyia kazi chakula sio kulala!, Wazazi wetu na wazungu wametupachika mentality mbaya kusoma hadi level ya juu zaidi ili utoke huku wao wakitengeza pesa kupitia institutions zao, nikiuliza ni Professor gani hata mwenye chuo hakuna, wamiliki wote wa education institutions ni wafanyabiashara

  Sasa basi kama wewe ni mzazi au Mwanafunzi unapenda ujasiriamali huhitaji hata Degree ili utoke what you need is Experience, Respect, Confidence and a coacher to tell you the business ways. Because most successful people in the world mfano Bill Gates, Mark Zuckerberg, Warren Buffett, Roman Abramovich, Bharesah (Azam) they did it without even a single degree. So you can make it big aswell dont get twisted utake kusoma hadi maPHD kwa kufata mkumbo tu, Make it your own way. Just be POSITIVE

  Kama kuna mtu ana mawazo tofauti unakaribishwa!
   
 2. I

  Igembe Nsabo Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 4, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukisoma historia ya matajiri wengi Duniani hasa Marekani, ni kweli walikuwa drop out wa shule, lakini kitu kingine cha kujiuliza je mfumo wetu unasupport hali hiyo, maanake wao mifumo yao iko wazi, you develop an idea the Governement is there to support you! or the financial institution is there for you, kwa nchi yetu issue iko complicated kidogo nafikiri wewe unafahamu mfumo wa serikali yetu vizuri kuliko hata mie na wa financial institution zetu.
  Hivyo basi mtu anapoamua kusoma ni ili aweze kusecure his future of employment na si vinginevyo na kwa sababu mfumo umejengwa hivyo.
  Wewe fikiria kila siku Serikali inafikiria kuongeza Vyuoo vikuuu vya nini??? tunataka kuwa na wasomi wenye level ya Degree lakini tunasahau kuna watendaji wengine hawahitaji degree wana hitaji UJUZI TU kutoka VETA na ambao ndo tunawahitaji kwa wingi, kwani hawa ndo watatusaidia kujiajiri wenye bila kutegemea ajira lasimi. Unataka mtu wa kutengeneza maua ya kupamba ndani kwako you don't need a degree holder au vitu vya kawaida ambavyo do vinatumika kila siku unahitaji kuwa na degree holder wa kufanya kazi hizo?? vitu vyote ukiona vinatoka China na vinasambazwa na Machinga ni kichekesho tu, vitu hivyo vinaweza kutegenezwa na watu wetu hawa hawa kutoka VETA na Vyuo kama Dar Tech au Mbeya Tech hawa ndo watu tuliotakiwa kuwazalisha kwa wingi na tungekuwa tunatoa elimu hata ya ujasiliamali BURE kwenye vyuo hivi.
  Nchi hapa ndo ingeweza kuendelea kwani Pyramid haliwezi kuwa na base dongo la sivyo halitaweza kusimama imara.
   
 3. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nimesoma hoja zenu hazijanikaa vizuri pamoja na kuwa mie sio msomi. Pengine kutokuwa kwangu msomi ndo kumeniponza. Hivyo naamini kuwa msomi ana uwezo zaidi wa kupambanua mambo.... Kwa ujumla mie sikubaliani na mawazo kuwa huhitaji elimu kutoka.... Hata kina bill gates wana research centres ambamo wasomi ndio wanaofanya kazi na kuleta innovation kwenye industry.... Kisomo ni muhimu isipokuwa unahitaji kuwa "smart" na si kutumbukiza miguu kwa ndoo.
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Ni kweli Bachelors inatosha lakini inategemea ni ya nini Bachelors ya Business -Finance ndiyo Bachelors nzuri maybe kuliko zote. Certification zinasaidia vilevile kama Project Management Prof (PMP) na CPA or registerd Eng (PE) kwani hizi certification zitakusaidia kufanya kazi kama contract au kuanzisha kampuni yako. Mimi mfano nina BBA-Finance hapa USA na ninatafuta PMP kwa sasa. Masters za siku hizi hazisaidii kwani zimekuwa za pesa tu hakuna kitu wanafundisha cha maana mafano mimi mwenye Bachelors ya Finance najua mambo ya biashara kuliko mtu mwenye masters MBA kama Bachelors yake haikuwa ya business. Hivyo Bachelors uliyochukua ni muhimu kuliko masters na nimepata kazi kwasababu ya Finance ingawa wenzangu wote kazini wana MBA. Naongea kwa wanaosomea biashara kama degree yako ni ya Business ni bora uchukue certification kama PMP, six sigma .
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kwa ujumla wengi wamekua wafuata mkumbo kwa kudhani masters ni maisha(japo yawezekana)...wamepoteza muda mwingi sana vyuoni na wanaporudi mtaani wanakuta wameachwa mbali sana na maisha,potelea mbali wenzao waloachana kwenye Bach ya kwanza...kwa kutojua pa kuanzia ndio yanapoibuka ya kiburi cha elimu ambacho hakimfikishi mhusika popote mbali na kujipa tumaini kua alistahili kuhaminiwa hivi badala ya vile wakati wenzake wakizidi kupiga kasi!
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  robinhood kama wewe ulipata kabachela na ukadaka kazi fasta au ukapata mtaji fasta na kuendelea na maisha fresh basi mshukuru Mungu wako maana kunawenzako wamehangaika na hivyo ikabidi wajaribu na masters.

  Unaposema wengi wanakimbilia masters nayo si kweli kabisa, hebu tafiti uone idadi ya wanafunzi wa masters kulinganisha na wahitimu wa bachela ukizingatia na gharama ya ada wengi hatumudu.

  Kusema kwamba kusoma sana sio tija sababu ktk masomo yote uliyosomo yanayo apply ktk maisha yako ni masomo matatu tu ni sawa na kusema umesoma lakini hujaelimika na hautambui umuhimu wa usomi wako wala thamani yako.

  Mwisho kama kweli unajua vizuri mfumo wa elimu,ajira na ujasiliamali wa hapa bongo usingeandika ulichoandika wala kutufananisha na akina bill gate, maana ni mifumo tofauti kabisa labda katiba mpya ije kufanya mapinduzi, vinginevyo hiyo yako ni theory tu not practical
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani tunafanya kosa kufikiri kwamba tunasoma sana ili tupate pesa au tuwe matajiri... Knowledge / Education is Power...., from your reasoning nikizaliwa mtoto wa tajiri na pesa zipo nyingi kwahiyo hakuna faida ya kusoma.... Binafsi mimi hata kama wangekuwa hawatoi vyeti bado ningesoma...., learning is just a tool you can use, and majority of people maisha yao yatakuwa dependable na employment and very soon degree alone itakuwa haitoshi...

  I know there are even more Bill Gates (College Dropout); Richard Branson (GCSE)..., lakini ujue in getting money you need to be street smart as well, (and not having a certificate does not mean you are dumb), sasa its like you are saying sababu ngumi peke yake inatosha kupigana kwanini nijifunze karate...

  You never know opportunity ikija soma...., ila ukikosa opportunity isiwe kigezo kwamba siwezi kufanikiwa sababu sijasoma
   
 8. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Katika mambo ya kufanikiwa katika ujasiriamali sehemu kubwa ni creativeness, ndio elimu ni nyongeza lakini bila creativity ni bure thus why you will see a lot of Scholars who have failed big time in their business endeavours
  Pengine biashara yes inahitaji kisomo ila sio lazima mfanyabishara asome, anaweza kuajiri wenye taaluma katika mambo ya biashara na akafanikiwa. Kuna tofauti kubwa baina ya mfanyabiashara na mjasiriamali, ukija kwenye ujasiriamali sio kila mtu anaweza kuwa mjasiriamali, endapo creativity is not your strongest point, chances are you will not cut it in Entrepreneurship.
  Sidhani kwamba inajalisha kama uko Tz ama Oversees, kuna mifano mingi tu ya watu hapohapo Tz ambao ni successful entrepreneur
  na hawajafika mbali kimasomo.
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mada hii tunaichangia kwa mtazamo tofauti kutokana na mtoa mada mwenyewe kachanganya mambo, heading inasema haina haja kuwa na masters ili kuwa mjasiliamali, habari yenyewe inakuwa ni kama anaponda watu kusoma masters kwa madai hazisaidii na kuwa bachela zinatosha.
  Issue si kusoma masters ili uwe mjasiliamali, unaweza usisome hata darasa moja na ukawa mjasiliamali,lakini hili haliondoi umuhimu wa watu kusoma masters. bill gate alitemwa chuo akabuni mradi lakini nenda ndani uone ni jinsigani alivyoajiri jopo la wasomi kufanikisha mradi wake, leo hii reginald mengi amejasilimali ipp lakini ameajiri wasomi zaidi ya alfu moja.
  Kikubwa hapa bongo ni mazingira magumu kwa mjasiliamali fresh from college kufanikiwa na ndio maana wengi tunalenga ajira zaidi.
  Mabenki hayakopeshi mtaji ni kikwazo namba moja, ni rahisi sana kusema unaweza kuanza na mtaji mdogo kisha pole pole utakuwa but what are chances?, hii ni theory tu mazingira ni tighty balaa utapata ugonjwa wa moyo bure ufe kabla ya siku zako.
   
 10. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Ndo mana niamendika hii mada kukufumbua akili na wala haijajichanganya ipo wazi kabisa kwa vijana wanaopenda kuwa wajasiriamali na bado hawajiamini kuwa wanaweza matokea yake wanabase kwenye education kama back up/substitute, sasa mtu una ideas za biashara kwanini uendelee kukaa darasani hadi upate mamasters badala ya kuapply ideas into practical, na kama una degree ni vizuri kuitumia kwanza kabla hujaongeza level nyingine ziada, hili ni tatizo na ndio mana hata wale wanaopenda kuajiria wanakosa kazi kwa sababu wametumia mda mwingi darasani bila ya kuwa na experience
   
 11. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Wewe naona umenielewa safi sana.
   
 12. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  As far as I know Warren Buffett ana master kutoka Colombia University na alifanya kidogo kazi ya kuajiriwa kabla ya kuludi na kujiingiza kwenye biashara ya kuwekeza kwenye hisa.
   
 13. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Mshika mawili moja humponyoka akina Richard Branson walichagua moja, mda mwingi darasani utachelewesha maendeleo ( kwa wajasiriamali )
   
 14. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Kweli kabisa watu wanazeekea madarasani bwana na kusahau ulimwengu wa sasa ni wa biashara
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua siku izi masters imekuwa kama fashion matokeo yake mtu anasoma iyo akimaliza hakuna kinachobadilika kuanzia kipato.title na mshahara hatimae wanaishia kwenye marustrations.
  Mimi na aka aka ka BBA kanatosha labda kama kukamua itakuwa ten years to come nimake kwanza
   
 16. P

  Preacher JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna elimu aina 2 - Elimu ya Darasani - hadi unapata masters - halafu kuna elimu ya maisha - hii ni inborn - yaani mtu unazaliwa kichwani kuko safi - unaweza ukafikiri faster - uka-act faster etc.

  Kwa mtazamo wangu - Elimu ya darasani ni muhimu - knowledge = power [lakini sio guarantee kwamba utatoka kimaisha] Kutoka kuna factors nyingi sana - bila kuwa na elimu ya maisha its impossible - unaweza kusoma sana - ukafanya kazi ambayo hailipi au ukasoma sana ukashindwa kupanga mambo yako - uka-mess up etc.

  Ili kutoka - Elimu ya maisha ni muhimu - whether umeenda shule au no - unaweza kuajiri wasomi na wakakufanyia kazi wakati wewe hujasoma - kama nilivyosema - hiyo in inborn na pia tukumbukue kuwa na Gods direction katika maisha - si tunajua Mungu akikuwekea TICK
  usome - usisome - unatoka tu

  Naamini nmeeleweka japo sikuweza ku-elaborate sana - asanteni!!
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Siku hizi kuna long distance learning huitaji kuwa campus full time..., na it does not mean kwamba Richard Branson angemaliza elimu yake asingefanikiwa..., Kufanikiwa ni Attitude ya mtu alivyo asome au asisome..,

  Wasomi wengi huwa hawafanikiwi sababu kubwa ni moja kisomo chao kinawafanya wajione experts na wasichukue idea ya mtu mwingine yoyote (wala hawataki ushauri) wakati money management (hata usiposoma) unaweza ukawa na good team (accountants, lawyers, business advisors etc)..., lakini hii isiwe sababu ya kutokusoma..

  Binafsi I love knowledge and I seek it not for the certificates bali ni kuongeza maujuzi..., and if I can manage to get masters why not, If I cant bado its okay..., Masters its like plan B if A fails you can be employed as well...
   
 18. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Safi sana huo ni muono mzuri wa maisha bachelor inakutosha kabisa Bwana Njowepo natamani wanajf wote wangelielewa hili.
  sasa wewe piga mishe uwaajiri hawa wanaopoteza mda mavyuoni na masters zao wakufanyie kazi.
   
 19. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Masters degree yangu niliipata after 12 years of working . Niliongezewa 15% ya kamshahara kangu tu .
   
 20. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu the problem is you are equating mafanikio na pesa, ila maisha sio hivyo.., money is not everything
  Mwingine anapenda field fulani mfano (Doctors, Lawyers au Engineers....,) kwahiyo hawa elimu its just a status.
  Alafu kumbuka kuna kazi ukifanya, kama consultancy wewe mwenyewe ndio asset kwahiyo hata ushauri wako depends na elimu yako, you are the product yourself.

  Now nchi inavyoendelea it becomes harder kuanzisha biashara (competition is stiff, and most industries are saturated). Nenda saa hizi marekani au England.., its very hard to start a business and if you are educated kampuni kubwa ni nyingi na zinalipa vizuri..., Na kipato chako unaweza ukainvest in stock market etc..., my point being in developed countries.., kutoka kama kina Gates and Abramavich is hard na simple way to lead a good normal life is through education.., We are not there yet in Tanzania but that is where we are heading.., ikifunguliwa Supermarket kali hapo Dar (with buying power kubwa na inanunua vitu in volumes) maduka madogo madogo mengi yatakufa..., thats what happened in UK after coming of the (Tesco, Asdas and Sainsburys) au Marekani Walmart... (yaani huyu giant anauza kila kitu na kwa bei rahisi sana..., unless product unatengeneza mwenyewe you cant compete.

  Ushauri Wangu
  Hakikisha watoto wako wanasoma mpaka pale watakapoweza kuishia..., na mtu anaweza akaanza kazi wakati bado anasoma part time..., open university ni kwa watu ambao bado wanafanya deal zao nyingine lakini wakati huo huo wanasoma. Because Tanzania ya kesho, sio ya deal za hapa na pale..., it will be harder kufanya biashara, competition itakuwa kubwa na itakuwa rahisi kwa watu wengi kuajiliwa in Big Companies... na Miradi tofauti
   
Loading...