Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 456
- Thread starter
- #21
Siku hizi kuna long distance learning huitaji kuwa campus full time..., na it does not mean kwamba Richard Branson angemaliza elimu yake asingefanikiwa..., Kufanikiwa ni Attitude ya mtu alivyo asome au asisome..,
Wasomi wengi huwa hawafanikiwi sababu kubwa ni moja kisomo chao kinawafanya wajione experts na wasichukue idea ya mtu mwingine yoyote (wala hawataki ushauri) wakati money management (hata usiposoma) unaweza ukawa na good team (accountants, lawyers, business advisors etc)..., lakini hii isiwe sababu ya kutokusoma..
Binafsi I love knowledge and I seek it not for the certificates bali ni kuongeza maujuzi..., and if I can manage to get masters why not, If I cant bado its okay..., Masters its like plan B if A fails you can be employed as well...
Nimekupata vizuri sana VOR knowledge ni muhimu, ila katika maisha mtu hutakiwi kuwa wa kujaribu jaribu tu, watu hadi wanazeeka huku wakijaribu mambo hawana huakika na hawajiamini wanayofanya. wewe kama umejipanga kuwa mjasiriamali wa kujenga nyumba na kupangisha mfano au biashara ya restaurant kwanini usijiamini uhitaji tena plan B, waliotoka VOR they had ONE PLAN and stacked to it. Go for plan A only and work hard on it no incases!