The World is a flat plane and not a globe

Mkuu hebu endelea kutema Madini,ulichokisema hapa ni fikirishi sana..maana serious wengi hatujui propose ya maisha.

Haiwezekani uwe unakula,kulala ,kuogelea then mwisho wa siku ufe,sasa ndo nini..haimake sense kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana for real haina sense ila upande wa pili wa imani umeelezea yote tafiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa.
 
Ndo mana zurri nikamuambia ana tatizo sehemu arekebishe,yeye hakujua tatizo ni lipi.

Haya mambo yanataka tafakuri ya kina na sio kufanya taqliyd ya mtu fulani.

Kwa sababu watu huiona haki kwa kufuata usahihi na dalili na wala watu hawaioni haki kwa kufunya taqliyd.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweka hili sawa, kule nilikupuuza ndio maana nikacheka sana. Kwahiyo sio kwamba uko sahihi.

Kukosolewa tunakubali kukosolewa ila kuwe kwa haki na usahihi. Kwahiyo naposema "Poa" huwa napuuza jambo husika sababu jambl hilo linakuwa tatizo.
 
Suala la kunipuuza sio tatizo na najua ulipuuza,sina tatizo kunipuuza.


Tumegusia alichokuambia ndugu huko juu.


Kuhusu kupuuza najua kwa nini umepuuza ndyo mana sikutaka kuendelea.
Naweka hili sawa, kule nilikupuuza ndio maana nikacheka sana. Kwahiyo sio kwamba uko sahihi.

Kukosolewa tunakubali kukosolewa ila kuwe kwa haki na usahihi. Kwahiyo naposema "Poa" huwa napuuza jambo husika sababu jambl hilo linakuwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kunipuuza sio tatizo na najua ulipuuza,sina tatizo kunipuuza.


Tumegusia alichokuambia ndugu huko juu.


Kuhusu kupuuza najua kwa nini umepuuza ndyo mana sikutaka kuendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana na mimi nikafunika kombe, pale ulipoanza kuzungumzia mambo ya "Taqlid".

Ili kadhia ipite na tusipoteze muda.
 
Hello Flat-earthers .

Comments ni nyingi sana, nilikuwa nauliza mmefikia wapi? Msimamo ni ule ule?
 
Eh!!Nimesoma vitabu vya imani, nilikuwa naonyesha mfano kuwa Manabii na Mitume walienda mbinguni,obvious through space na ni watu,kwanini wana science wasiweze kwenda..mimi nakubaliana operations za space zilifanyika na zinafanyika
Hakuna cha space wala.allien....tupo ndani ya dome. Na no one gets out!
Hizo za imani kuwa kuna mtu alifika Mbinguni kwa Mungu!!....zibaki hivyo hivyo.
But reality check ni kuwa hakuna mwansayansi wa kwenda mars wala jupiter

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…