The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

 
.
"HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers"

.
FB_IMG_1580500003968.jpeg
fa312e70213177ecc17210874da9cfe5.jpeg
flat-earth-memes-74-1.jpeg
IMG_20200127_125650_053.JPG
FB_IMG_1580507298070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambaye huwajui ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa watu(fact)suala la kuwajua ni jingine kabisa.What if i say your Quran is hoax too and it is a deduction of Jews teachings.Nyie mwache "uduanzi" ulitakiwa tangu mapema uonyeshe tunaongelea "imaan"...UNAYUMBA SANA MTAALAMU.
 
Hakuna sehemu niliongelea kuhusu quran ,pili ni muonekana wa dunia kwa jinsi ulivyo sio imani,imani inakuja baada kuwa huo muonekano chanzo chake ni kipi.

Tumia lugha elekezi na zenye mantiki,halafu cha mwisho usijilazimishe kukataa kila unachoona ni uhalisia kwa kuwa umepandikizwa na kusindikizwa na fikra zisizo halisi,tumia ufahamu kadri uwezavyo maana hakuna muda mwingine zaidi ya sasa .
Walikuwa watu(fact)suala la kuwajua ni jingine kabisa.What if i say your Quran is hoax too and it is a deduction of Jews teachings.Nyie mwache "uduanzi" ulitakiwa tangu mapema uonyeshe tunaongelea "imaan"...UNAYUMBA SANA MTAALAMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
Eh!!Nimesoma vitabu vya imani, nilikuwa naonyesha mfano kuwa Manabii na Mitume walienda mbinguni,obvious through space na ni watu,kwanini wana science wasiweze kwenda..mimi nakubaliana operations za space zilifanyika na zinafanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hamsomi vizuri ninacho kiandika, kinachofanya Camera nimeshakisema, rudia nilichokiandika huko awali.

Ongezeni umakini.
Tatizo sio kuwa hatupo makini,bali tatizo ni kuwa hukwenda direct kwenye point.

Haya maswali yanayoulizwa yanakupa wewe urahisi na kukusaidia kwenda kwenye lengo lako pale paaap mkuu zurri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana hii mada imeenda sana na tumeleana sana, nataka kumaliza hili kwa mtindo huu.

Anasema Allah aloye juu :

5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (Azzumar : 5 )

Hili andiko ukilisoma vizuri linaonyesha ya kuwa dunia duara, ukisoma matini ya tamko hilo utaona neno "yuqawirru" maana yake "wrap around" na kinacho bi "wrapped" ni Dunia.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na ardhi tumeitandaza na humo tumeweka milima, na tumeotesha kila kitu kwa kiasi chake. (al Hijri : 19 )

Hapa aya inasema ardhi imefanywa kama tandiko, yaani baada ya kuumbwa dunia ikatandikwa ardhi juu yake. Hapa ndio tunauzungumzia huo utambarare wa Dunia duara.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.

20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana. (Nuhu : 19 - 20)

Ardhi imefanywa kama busati, ili tutembee katika njia pana.

Akasema tena Allah mtukufu aliye takasika :
6. Kwani hatukuifanya ardhi kama tandiko?
7. Na milima kama vigingi?
8. Na tukakuumbeni kwa jozi?
9. Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? (an Nabaa : 6 - 9 )

Kwahiyo kwa jumla ya aya hizo tunaona ya kuwa Dunia kwa umbile lake ni duara ila ni tambarare kwa juu.
Hyo aya nambs 5 ni sawa lakini kuifanya ushshidi wa kuwa dunia duara la mpira bado haijawa wazi.

Kwa maana ya kuwa kutumia neno يكور kwa maana ya wrap around kama ni kufunika kwa kuzunguka alafu mzunguko huo ukaufanya mpira sio kweli.

Kwa sababu hata tukitia mfano wa dunia sinia ambayo sio mpira bado inabaki pale pale kuwa huo mchana na usiku utakuwa katika mzunguko wa ile sahani.

Kwa hyo na mimi natumia ushahidi huo huo kuonesha kuwa dunia ni duara flati kama sahani na sio kama mpira.

Kwa sababu hata dunia flat sahani ukiipiga mwanga ule mwanga utakuwa unazunguka ile sahani,kwa hyo hapo ama mchana utakuwa umezunguka sahani.

Na hvyo hvyo chukua sahani alafu ipige mwanga chini ya sahani kule wakati wa usiku bila shaka utaona sehemu ya sahani hakuna mwanga kuna giza,lile giza litakuwa limefunika sahani.na giza hlo litakuwa limezunguka sahani.

Kwa hyo kkuu zurri hata dunia flat sahani maana ya aya hiyo inaingia pia.

Na kama mambo ni hivyo hapo hakuna hoja ya wazi ya kukamatia madai hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulikuwa wapi,nimekukosa mno kwenye uzi huu.
Ukiangalia utaona anajipinga yeye mwenyewe kwani anasema dunia ni duara na ardhi imetandikwa juu yake kama busati lililo tambarale, sasa swali ni hili; utatandikaje kitambaa juu ya mpira na kitambaa hicho kiwe tambarale kisifuate umbo la duara la huo mpira??. Inaonyesha neno tambarale ndilo linalomchanganya na mbaya zaidi alikimbia hesabu alipokuwa shule hivyo hawezi jua nini maana ya "tambarale" ya ardhi juu ya uso wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema hukufeli hesabu za kisekyula, kwani hesabu za kisekyula zikoje na zile zisizokuwa za kisekyula ni zipi??


Wewe hujui hata Qur'an nayo unayoipotosha imo ndani ya makaratasi ??--- sasa kwa huo uerevu wako (sio ujinga wako) tusiifuate Kwakuwa imeandikwa kwenye makaratsai??
Poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom