REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #1,661
Fikra,fahamu na akili hujenga kitu kiitwacho hypothetical thinking,yani kujiuliza na kufikiria jambo pasipo ushirika wa msaada wowote,nikimaanisha kudadisi na kujipatie majibu binafsi kama nafsi moja.
Hapo ndo uzaa maswali kwa wengine kuhusu fikra na mitazamo ,maana vinakuwa havishabiani kwa namna moja au nyingine,endapo hali kama hii hujitokeza inabidi viumbe wawili waweke shuhuda eleweka zenye mantiki kuweza kupata mtazamo mmoja sawia.
Sent using Jamii Forums mobile app

Misingi yangu ni :
1. Fitra (Umbile la ndani la mwanadamu, kama njia ya kuujua ukweli, hili analo kila mwanadamu mpaka wale wakana Mungu)
2. Akili
3. Hawasi (Milango ya fahamu katika kuyatazama maumbile)
4. Ufunuo, hapa ndipo tunapata majibu kwayo akili zetu zinapoishia, safari ya ukamilifu hutimilizwa na ufunuo.
Sent using Jamii Forums mobile app