The World is a flat plane and not a globe

 
Ambaye huwajui ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa watu(fact)suala la kuwajua ni jingine kabisa.What if i say your Quran is hoax too and it is a deduction of Jews teachings.Nyie mwache "uduanzi" ulitakiwa tangu mapema uonyeshe tunaongelea "imaan"...UNAYUMBA SANA MTAALAMU.
 
Hakuna sehemu niliongelea kuhusu quran ,pili ni muonekana wa dunia kwa jinsi ulivyo sio imani,imani inakuja baada kuwa huo muonekano chanzo chake ni kipi.

Tumia lugha elekezi na zenye mantiki,halafu cha mwisho usijilazimishe kukataa kila unachoona ni uhalisia kwa kuwa umepandikizwa na kusindikizwa na fikra zisizo halisi,tumia ufahamu kadri uwezavyo maana hakuna muda mwingine zaidi ya sasa .
Walikuwa watu(fact)suala la kuwajua ni jingine kabisa.What if i say your Quran is hoax too and it is a deduction of Jews teachings.Nyie mwache "uduanzi" ulitakiwa tangu mapema uonyeshe tunaongelea "imaan"...UNAYUMBA SANA MTAALAMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
Eh!!Nimesoma vitabu vya imani, nilikuwa naonyesha mfano kuwa Manabii na Mitume walienda mbinguni,obvious through space na ni watu,kwanini wana science wasiweze kwenda..mimi nakubaliana operations za space zilifanyika na zinafanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hamsomi vizuri ninacho kiandika, kinachofanya Camera nimeshakisema, rudia nilichokiandika huko awali.

Ongezeni umakini.
Tatizo sio kuwa hatupo makini,bali tatizo ni kuwa hukwenda direct kwenye point.

Haya maswali yanayoulizwa yanakupa wewe urahisi na kukusaidia kwenda kwenye lengo lako pale paaap mkuu zurri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo aya nambs 5 ni sawa lakini kuifanya ushshidi wa kuwa dunia duara la mpira bado haijawa wazi.

Kwa maana ya kuwa kutumia neno يكور kwa maana ya wrap around kama ni kufunika kwa kuzunguka alafu mzunguko huo ukaufanya mpira sio kweli.

Kwa sababu hata tukitia mfano wa dunia sinia ambayo sio mpira bado inabaki pale pale kuwa huo mchana na usiku utakuwa katika mzunguko wa ile sahani.

Kwa hyo na mimi natumia ushahidi huo huo kuonesha kuwa dunia ni duara flati kama sahani na sio kama mpira.

Kwa sababu hata dunia flat sahani ukiipiga mwanga ule mwanga utakuwa unazunguka ile sahani,kwa hyo hapo ama mchana utakuwa umezunguka sahani.

Na hvyo hvyo chukua sahani alafu ipige mwanga chini ya sahani kule wakati wa usiku bila shaka utaona sehemu ya sahani hakuna mwanga kuna giza,lile giza litakuwa limefunika sahani.na giza hlo litakuwa limezunguka sahani.

Kwa hyo kkuu zurri hata dunia flat sahani maana ya aya hiyo inaingia pia.

Na kama mambo ni hivyo hapo hakuna hoja ya wazi ya kukamatia madai hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulikuwa wapi,nimekukosa mno kwenye uzi huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…