The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Umeishiwa aisee, hizo picha ndo zinajenga hiyo dhana mnayoitetea nyie. Kama umeshindwa kuielewa dhana yenu mnayoitetea kwa shahidi hizo basi hakuna mnachokijua kuhusu round earth, am jus'wastn ma'time.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yangu nimemaliza na mjadala umeisha kwa mtindo huo.

Soma hoja zangu uone unachokiandika haoa ni chako wewe na sina dhana unayo nibambikia.

Nilitaka nikujibu kwa kukuandikia "POA" kuonyesha nimekupuuza lakini nikasema niseme hiki.
 
Ok
FB_IMG_1580497580480.jpeg
FB_IMG_1580498106017.jpeg
FB_IMG_1580498356525.jpeg
FB_IMG_1580498129720.jpeg
FB_IMG_1580498377270.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yako bado ni utata mtupu! Sababu ulisha sema hakuna aliyewahi kufika kwenye Mwezi kutokana na kizuizi cha Dome ngumu ya kioo iliyopo juu angani.Hizo picha na videos ni Hoax za NASA tu. utata unakuja hapo kwenye kielelezo unacho weka cha flat earth kinacho onesha Dunia Jua na Mwezi vikiwa ndani ya Dome moja! Je bado hujaona kwenye Mwezi panafikika?!
 
Majibu yako bado ni utata mtupu! Sababu ulisha sema hakuna aliyewahi kufika kwenye Mwezi kutokana na kizuizi cha Dome ngumu ya kioo iliyopo juu
Ndio ,utata upo wapi?
Mwezi na jua na nyota vipo ndani sio nje na mwezi ni luminating circle unaweza ukaona hata nyota muda mwingine nyuma yake kama una camera nzuri,mwezini hajawahi enda mtu na haitaka itokee ,wanashindwaje kwenda sasahivi ilhali wanateknologia zaidi ya miaka ya 60
FB_IMG_1580499499618.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ,utata upo wapi?
Mwezi na jua na nyota vipo ndani sio nje na mwezi ni luminating circle unaweza ukaona hata nyota muda mwingine nyuma yake kama una camera nzuri,mwezini hajawahi enda mtu na haitaka itokee ,wanashindwaje kwenda sasahivi ilhali wanateknologia zaidi ya miaka ya 60View attachment 1342660

Sent using Jamii Forums mobile app
China na India Juzi kati zile mission walizo dai walifanya kwenda kwenye Mwezi ilikuwa hoax?!
 
Picha ni zakwao ,zimevuja kutokana na ujinga wao halafu pili mimi sio mshirika wa shetani kwakuwa nampinga asilimia zote,tatu njia pekee ya kufahamu ukweli kuhusu hili jambo nikutuliza kichwa na kutumia ubongo wako sio kushikiwa na kuongozwa na bongo zingine.
W

Wewe pia ni Mshirika wa huo Ushetani unawezaje kuwaponda Nasa ukisema kwenye Mwezi hapafikiki na bado unatuletea picha za huko kwenye Mwezi kutuaminisha unachokitetea ni sahihi,utadhani ulisha wahi fika huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana hii mada imeenda sana na tumeleana sana, nataka kumaliza hili kwa mtindo huu.

Anasema Allah aloye juu :

5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (Azzumar : 5 )

Hili andiko ukilisoma vizuri linaonyesha ya kuwa dunia duara, ukisoma matini ya tamko hilo utaona neno "yuqawirru" maana yake "wrap around" na kinacho bi "wrapped" ni Dunia.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na ardhi tumeitandaza na humo tumeweka milima, na tumeotesha kila kitu kwa kiasi chake. (al Hijri : 19 )

Hapa aya inasema ardhi imefanywa kama tandiko, yaani baada ya kuumbwa dunia ikatandikwa ardhi juu yake. Hapa ndio tunauzungumzia huo utambarare wa Dunia duara.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.

20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana. (Nuhu : 19 - 20)

Ardhi imefanywa kama busati, ili tutembee katika njia pana.

Akasema tena Allah mtukufu aliye takasika :
6. Kwani hatukuifanya ardhi kama tandiko?
7. Na milima kama vigingi?
8. Na tukakuumbeni kwa jozi?
9. Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? (an Nabaa : 6 - 9 )

Kwahiyo kwa jumla ya aya hizo tunaona ya kuwa Dunia kwa umbile lake ni duara ila ni tambarare kwa juu.
Ndio ulitakiwa uanzie hapa, na hakuna uliemlea, tangu mwanzo mimi ni mmojawapo wa waliosema,reality alitakiwa awe wazi kuwa anaongelea Quran😃.Na Quran hatusemi haiko sawa katika hili la dunia ni duara na sisi tuko katika hilo busati.Hapa wajinga ni nyinyi tu😃😃.Flat Earthers ni wanasayansi wavivu narudia tena😂😂.Dunia inaweza kuwa ya mviringo kisha busati likawa wrapped kufata huo mviringo. Mtu unakataa watu hawaendi mwezini hapo tu.Wakati mtume alienda mbingu kibao tu ndani ya usiku mmoja(Proof kuwa watu wanaenda space hiyo!!)
 
Nassary strikes again😃

Gravity wanaielezea hivi
Kwakuwa upo Kwenye flat disc inaaccelerate upwards with an acceleration of 9.8m/s2. Hii inatengeneza illusion ya kuwa unavutwa chini Kumbe earth ndo inaenda juu. mazojms, Although kusema ukweli HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers wengi hata hawaamini flat earth lakini ni clout chasers tu
 
Mtu unakataa watu hawaendi mwezini hapo tu.Wakati mtume alienda mbingu kibao tu ndani ya usiku mmoja(Proof kuwa watu wanaenda space hiyo!!)
Bila shaka una ufahamu mdogo sana juu ya elimu ya Qur'aan na Tafsiri yake.

Nithibitishie ya kuwa mtu alienda mwezini, kisha nikuthibitishie ya kuwa hakuna aliyeenda mwezini kwa mujibu wa Qur'aan na Hadithi.

Tuendelee .....
 
Tena mtume alipandia pale pale Jerusalem.Ni rahisi kuita spherical world hoax, lakini religion unayoamini not a hoax, Judaism,Muslim and Christians ni dini za ajabu sana😃😃.Jesus defy gravitation(spherical)au alikuwa na low density,Mtume Mohammad(SAW) na yeye akaenda mpaka kwa Mungu kwa kutumia kiumbe tu.Na mmejifanya watu wa proofs,leteni proof zao wakifanya hayo...mnaanza kufungua machapters.Jamani tuanze kufikiria zaidi ya hapo,hasa wenzangu weusi typical.Hawa Waarabu,Wazungu na other races tuwaache na ukombozi wao waliopata,tusubiri wa kwetu.Mi naenda katika dini kufata protocal za life tu na kuwa na "sense of belong".Mambo ya Dajal,sijui mpinga kristo hainihusu kabisa.😃😃😃.Sasa mnaohusika msitulazimishe bwana,mara mchinje watoto Christmas,mara Afrika ya kati wakristo wamebanika na kula nyama za waislamu😃😃😃
 
Ndio ulitakiwa uanzie hapa, na hakuna uliemlea, tangu mwanzo mimi ni mmojawapo wa waliosema,reality alitakiwa awe wazi kuwa anaongelea Quran.Na Quran hatusemi haiko sawa katika hili la dunia ni duara na sisi tuko katika hilo busati.Hapa wajinga ni nyinyi tu.Flat Earthers ni wanasayansi wavivu narudia tena.Dunia inaweza kuwa ya mviringo kisha busati likawa wrapped kufata huo mviringo. Mtu unakataa watu hawaendi mwezini hapo tu.Wakati mtume alienda mbingu kibao tu ndani ya usiku mmoja(Proof kuwa watu wanaenda space hiyo!!)
.
FB_IMG_1580507298070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom