The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Bila shaka una ufahamu mdogo sana juu ya elimu ya Qur'aan na Tafsiri yake.

Nithibitishie ya kuwa mtu alienda mwezini, kisha nikuthibitishie ya kuwa hakuna aliyeenda mwezini kwa mujibu wa Qur'aan na Hadithi.

Tuendelee .....
Sijasema Prophet alienda mwezini, nimesema mbinguni,na alivuka mbingu kadhaa.Hii tu nikaonyesha ni evidence mtu anaweza kwenda space.Au prophet hakwenda mbinguni,na katika baadhi ya mbingu akawakuta manabii wa kale?
 
Tena mtume alipandia pale pale Jerusalem.Ni rahisi kuita spherical world hoax, lakini religion unayoamini not a hoax, Judaism,Muslim and Christians ni dini za ajabu sana.Jesus defy gravitation(spherical)au alikuwa na low density,Mtume Mohammad(SAW) na yeye akaenda mpaka kwa Mungu kwa kutumia kiumbe tu.Na mmejifanya watu wa proofs,leteni proof zao wakifanya hayo...mnaanza kufungua machapters.Jamani tuanze kufikiria zaidi ya hapo,hasa wenzangu weusi typical.Hawa Waarabu,Wazungu na other races tuwaache na ukombozi wao waliopata,tusubiri wa kwetu.Mi naenda katika dini kufata protocal za life tu na kuwa na "sense of belong".Mambo ya Dajal,sijui mpinga kristo hainihusu kabisa..Sasa mnaohusika msitulazimishe bwana,mara mchinje watoto Christmas,mara Afrika ya kati wakristo wamebanika na kula nyama za waislamu
.
FB_IMG_1580505012241.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema Prophet alienda mwezini, nimesema mbinguni,na alivuka mbingu kadhaa.Hii tu nikaonyesha ni evidence mtu anaweza kwenda space.Au prophet hakwenda mbinguni,na katika baadhi ya mbingu akawakuta manabii wa kale?
Sasa ndio uthibitishe,maana najua ya kuwa safari hiyo ya mtume kwenda mbinguni haionyeshi ya kuwa watu wanaweza mwezini au kwa ujumla wake kwenye "space".

Sasa nithibitishie hilo.
 
That what it is a round flat earth

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiangalia utaona anajipinga yeye mwenyewe kwani anasema dunia ni duara na ardhi imetandikwa juu yake kama busati lililo tambarale, sasa swali ni hili; utatandikaje kitambaa juu ya mpira na kitambaa hicho kiwe tambarale kisifuate umbo la duara la huo mpira??. Inaonyesha neno tambarale ndilo linalomchanganya na mbaya zaidi alikimbia hesabu alipokuwa shule hivyo hawezi jua nini maana ya "tambarale" ya ardhi juu ya uso wa dunia.
 
Sasa ndio uthibitishe,maana najua ya kuwa safari hiyo ya mtume kwenda mbinguni haionyeshi ya kuwa watu wanaweza mwezini au kwa ujumla wake kwenye "space".
😃😃 kwa haraka Elia(Nabii) alibebwa na gari la moto.
Yesu(Alipaa)
Mtume (alipiga kiwango yeye alienda kisha akarudi)
Hao waliotangulia juu unaona ni watu wa imani. Na wapo wengi tu wameenda space kiimani wakina Brahma,hata Sadhguru ukimsikiliza vizuri unagundua alisha observe kitu kule anasita kusema tu.Ukimuuliza Mungu yupo anakwambia jibu honesty ni "I dont Know"😂😂,kuliko kupiga fix raia.
Baada ya miaka kadhaa mingi, modern scientist wameenda space japo hamtaki kukubali.Wakenya mpaka muda huu wana sattelite yao hapo juu😃😃😃,sasa sijui na mkenya atake kufanya hoax impe nini?Wakati nzige tu wanamsumbua.

Sasa nithibitishie hilo.
 
Sasa ndio uthibitishe,maana najua ya kuwa safari hiyo ya mtume kwenda mbinguni haionyeshi ya kuwa watu wanaweza mwezini au kwa ujumla wake kwenye "space".

Sasa nithibitishie hilo.
Nabii Elia,Issa/Jesus,Prophet Mohammed(SAW) walikuwa watu pia.Ukisema walikuwa spiritual.Ndio uelewe modern tunaenda ki sayansi, na scientist hawana tabu ya kumpinga au kutompinga Mungu kwa umoja wao,hilo limebaki kuwa swala la individuals.Na watu kama nyinyi mnatengeneza conspirancy theories kulazimisha kuwa wana sayansi wanapingana na Mungu wakati wanasayansi kila mmoja binafsi ana dini yake na wengine pia hawana na hawalazimishani.Najua mtaanza kuleta vipicha na vi faili vya kuokoteza na kuanza kuongelea jumuia kadhaa kama Freemason😃😃.Hakuna mtu anawajua freemason humu JF,na kama yupo ambae ni member hawezi kuwa nauda wa kutuandikia mishe zao...
 
Ukiangalia utaona anajipinga yeye mwenyewe kwani anasema dunia ni duara na ardhi imetandikwa juu yake kama busati lililo tambarale, sasa swali ni hili; utatandikaje kitambaa juu ya mpira na kitambaa hicho kiwe tambarale kisifuate umbo la duara la huo mpira??. Inaonyesha neno tambarale ndilo linalomchanganya na mbaya zaidi alikimbia hesabu alipokuwa shule hivyo hawezi jua nini maana ya "tambarale" ya ardhi juu ya uso wa dunia.
Nacheka sana. Sijibu utoto kijana, kazi yangu nimemaliza na hakuna nilipojichanganya zaidi ya upeo wako kuwa mdogo.

Pili, hesabu gani zilizotumika kuelezea umbo la dunia zikawa na uhalisia zaidi kuishia kwenye makaratasi.

Tatu, japo hili si la msingi, sijawahi kufeli hesabu kijana katika maisha yangu yote ya kusoma "Secular" sasa unaposema uongo ili kujifurahisha nakuona mjinga usie faa hata kupigiwa mfano.
 
Ambaye huwajui ni wewe.
Nabii Elia,Issa/Jesus,Prophet Mohammed(SAW) walikuwa watu pia.Ukisema walikuwa spiritual.Ndio uelewe modern tunaenda ki sayansi, na scientist hawana tabu ya kumpinga au kutompinga Mungu kwa umoja wao,hilo limebaki kuwa swala la individuals.Na watu kama nyinyi mnatengeneza conspirancy theories kulazimisha kuwa wana sayansi wanapingana na Mungu wakati wanasayansi kila mmoja binafsi ana dini yake na wengine pia hawana na hawalazimishani.Najua mtaanza kuleta vipicha na vi faili vya kuokoteza na kuanza kuongelea jumuia kadhaa kama Freemason.Hakuna mtu anawajua freemason humu JF,na kama yupo ambae ni member hawezi kuwa nauda wa kutuandikia mishe zao...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili, hesabu gani zilizotumika kuelezea umbo la dunia zikawa na uhalisia zaidi kuishia kwenye makaratasi.

Unasema hukufeli hesabu za kisekyula, kwani hesabu za kisekyula zikoje na zile zisizokuwa za kisekyula ni zipi??

Wewe hujui hata Qur'an nayo unayoipotosha imo ndani ya makaratasi ??--- sasa kwa huo uerevu wako (sio ujinga wako) tusiifuate Kwakuwa imeandikwa kwenye makaratsai??
 
Sayansi imeandikwa wapi?
Unasema hukufeli hesabu za kisekyula, kwani hesabu za kisekyula zikoje na zile zisizokuwa za kisekyula ni zipi??

Wewe hujui hata Qur'an nayo unayoipotosha imo ndani ya makaratasi ??--- sasa kwa huo uerevu wako (sio ujinga wako) tusiifuate Kwakuwa imeandikwa kwenye makaratsai??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana hii mada imeenda sana na tumeleana sana, nataka kumaliza hili kwa mtindo huu.

Anasema Allah aloye juu :

5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! (Azzumar : 5 )

Hili andiko ukilisoma vizuri linaonyesha ya kuwa dunia duara, ukisoma matini ya tamko hilo utaona neno "yuqawirru" maana yake "wrap around" na kinacho bi "wrapped" ni Dunia.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na ardhi tumeitandaza na humo tumeweka milima, na tumeotesha kila kitu kwa kiasi chake. (al Hijri : 19 )

Hapa aya inasema ardhi imefanywa kama tandiko, yaani baada ya kuumbwa dunia ikatandikwa ardhi juu yake. Hapa ndio tunauzungumzia huo utambarare wa Dunia duara.

Akasema tena Allah aliye juu :

19. Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.

20. Ili mtembee humo katika njia zilizo pana. (Nuhu : 19 - 20)

Ardhi imefanywa kama busati, ili tutembee katika njia pana.

Akasema tena Allah mtukufu aliye takasika :
6. Kwani hatukuifanya ardhi kama tandiko?
7. Na milima kama vigingi?
8. Na tukakuumbeni kwa jozi?
9. Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko? (an Nabaa : 6 - 9 )

Kwahiyo kwa jumla ya aya hizo tunaona ya kuwa Dunia kwa umbile lake ni duara ila ni tambarare kwa juu.
Hilo sio duara bali ni NUSU DUARA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gravity wanaielezea hivi
Kwakuwa upo Kwenye flat disc inaaccelerate upwards with an acceleration of 9.8m/s2. Hii inatengeneza illusion ya kuwa unavutwa chini Kumbe earth ndo inaenda juu. mazojms, Although kusema ukweli HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers wengi hata hawaamini flat earth lakini ni clout chasers tu

"HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers"

Similar Discussions

Back
Top Bottom