The World is a flat plane and not a globe

Umeishiwa aisee, hizo picha ndo zinajenga hiyo dhana mnayoitetea nyie. Kama umeshindwa kuielewa dhana yenu mnayoitetea kwa shahidi hizo basi hakuna mnachokijua kuhusu round earth, am jus'wastn ma'time.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yangu nimemaliza na mjadala umeisha kwa mtindo huo.

Soma hoja zangu uone unachokiandika haoa ni chako wewe na sina dhana unayo nibambikia.

Nilitaka nikujibu kwa kukuandikia "POA" kuonyesha nimekupuuza lakini nikasema niseme hiki.
 
Majibu yako bado ni utata mtupu! Sababu ulisha sema hakuna aliyewahi kufika kwenye Mwezi kutokana na kizuizi cha Dome ngumu ya kioo iliyopo juu angani.Hizo picha na videos ni Hoax za NASA tu. utata unakuja hapo kwenye kielelezo unacho weka cha flat earth kinacho onesha Dunia Jua na Mwezi vikiwa ndani ya Dome moja! Je bado hujaona kwenye Mwezi panafikika?!
 
Majibu yako bado ni utata mtupu! Sababu ulisha sema hakuna aliyewahi kufika kwenye Mwezi kutokana na kizuizi cha Dome ngumu ya kioo iliyopo juu
Ndio ,utata upo wapi?
Mwezi na jua na nyota vipo ndani sio nje na mwezi ni luminating circle unaweza ukaona hata nyota muda mwingine nyuma yake kama una camera nzuri,mwezini hajawahi enda mtu na haitaka itokee ,wanashindwaje kwenda sasahivi ilhali wanateknologia zaidi ya miaka ya 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China na India Juzi kati zile mission walizo dai walifanya kwenda kwenye Mwezi ilikuwa hoax?!
 
Picha ni zakwao ,zimevuja kutokana na ujinga wao halafu pili mimi sio mshirika wa shetani kwakuwa nampinga asilimia zote,tatu njia pekee ya kufahamu ukweli kuhusu hili jambo nikutuliza kichwa na kutumia ubongo wako sio kushikiwa na kuongozwa na bongo zingine.
W

Wewe pia ni Mshirika wa huo Ushetani unawezaje kuwaponda Nasa ukisema kwenye Mwezi hapafikiki na bado unatuletea picha za huko kwenye Mwezi kutuaminisha unachokitetea ni sahihi,utadhani ulisha wahi fika huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ulitakiwa uanzie hapa, na hakuna uliemlea, tangu mwanzo mimi ni mmojawapo wa waliosema,reality alitakiwa awe wazi kuwa anaongelea Quran๐Ÿ˜ƒ.Na Quran hatusemi haiko sawa katika hili la dunia ni duara na sisi tuko katika hilo busati.Hapa wajinga ni nyinyi tu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.Flat Earthers ni wanasayansi wavivu narudia tena๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Dunia inaweza kuwa ya mviringo kisha busati likawa wrapped kufata huo mviringo. Mtu unakataa watu hawaendi mwezini hapo tu.Wakati mtume alienda mbingu kibao tu ndani ya usiku mmoja(Proof kuwa watu wanaenda space hiyo!!)
 
Nassary strikes again๐Ÿ˜ƒ

 
Mtu unakataa watu hawaendi mwezini hapo tu.Wakati mtume alienda mbingu kibao tu ndani ya usiku mmoja(Proof kuwa watu wanaenda space hiyo!!)
Bila shaka una ufahamu mdogo sana juu ya elimu ya Qur'aan na Tafsiri yake.

Nithibitishie ya kuwa mtu alienda mwezini, kisha nikuthibitishie ya kuwa hakuna aliyeenda mwezini kwa mujibu wa Qur'aan na Hadithi.

Tuendelee .....
 
Tena mtume alipandia pale pale Jerusalem.Ni rahisi kuita spherical world hoax, lakini religion unayoamini not a hoax, Judaism,Muslim and Christians ni dini za ajabu sana๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.Jesus defy gravitation(spherical)au alikuwa na low density,Mtume Mohammad(SAW) na yeye akaenda mpaka kwa Mungu kwa kutumia kiumbe tu.Na mmejifanya watu wa proofs,leteni proof zao wakifanya hayo...mnaanza kufungua machapters.Jamani tuanze kufikiria zaidi ya hapo,hasa wenzangu weusi typical.Hawa Waarabu,Wazungu na other races tuwaache na ukombozi wao waliopata,tusubiri wa kwetu.Mi naenda katika dini kufata protocal za life tu na kuwa na "sense of belong".Mambo ya Dajal,sijui mpinga kristo hainihusu kabisa.๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.Sasa mnaohusika msitulazimishe bwana,mara mchinje watoto Christmas,mara Afrika ya kati wakristo wamebanika na kula nyama za waislamu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ