The World is a flat plane and not a globe

Sawa mkuu. What is a purpose of life,regardless of earth being flat or spherical?
What is reality, is reality actual or a relative concept?
Swali la lengo la maisha, halijibiwi nje ya imani za kidini, na hapa ndio kuna majibu sahihi.

Miongoni mwa maswali ambayo Sayansi haiwezi kujibu ni hilo swali la "purpose of life".
 
Hili swali rahisi sana, lakini najiuliza kwanini hujajibu inavyotakiwa na kwa usahihi.

Lengo la maisha au sisi kuishi ni ili tumuabudu Mola muumba wa mbingua ardhi na vyote vilivyomo. Kinyume na jibu hili ni uongo na wasi wasi wa shetani.
 
Niambie ukomo wa kufikia utimilifu ni wapi?ili twende sawa
Kwahiyo unakubali ya kuwa Camera haiko au haijstengezwa kwa kukupa hitimishl la utimilifu bali msaada kufikia ukamilifu/utimilifu. Kama hali iko hivyo kwanini unatumia kitu kisocho kamili kuhitimisha juu ya utimilifu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo jinsi nilivyojibu ila ukimjibu straight hivyo na yeye anatawaliwa na mifumo ya sayansi inakuwa ngetwa kukuelew ila inshort jibu ndo hilo ulilolitoa .
Hili swali rahisi sana, lakini najiuliza kwanini hujajibu inavyotakiwa na kwa usahihi.

Lengo la maisha au sisi kuishi ni ili tumuabudu Mola muumba wa mbingua ardhi na vyote vilivyomo. Kinyume na jibu hili ni uongo na wasi wasi wa shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua kwanza haya:
1. Inawezekanaje watu na wanyama kuishi na kufanya shughuli zao ktk dunia duara kama tufe inayoning'inia angani wakiwa wamenata na kutembea upandeupande, wameegama na wengine miguu juu kichwa chini ili hali wao ni non magenital.?
2. Inakuingia akilini vitu, watu na wanyama kunatishwa pembezoni mwa dunia eti kwa kisingizio cha gravity akati vitu hivyo ni non magnetic substance.
3. Ni ngumu kwa maji ya bahari na maziwa ku-bend ili kuleta dhana ya uduwara wa dunia.
4. Huoni kama ni rahisi kwa a Plate earth ku-hold kila kitu without any assist of gravity. The more denser you are, the more you prevail.

Refer the evidence below so that you can come up with new vision[emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
See how simple for a FLAT EARTH.![emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
See how simple for a FLAT EARTH.![emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeuliza swali zuri ambalo ilitakiwa uulizwe wewe.

Mfano mimi nikitumia camera kuangalia gari nitasema naiona gari kupitia camera yani macho yangu yanaangalia camera na camera inaangalia gari.

Labda kuhusu kitu ili kiwe kinaona kikidhi vigezo gani je hivyo vigezo vijengeke kwenye msingi wa marejeo yapi ?

Kiada tu za watu vile wanavyotumia maneno?

Kisayansi?

Ama kidini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi,basi kama hali inatatulika ndani ya ukomo flani kimisingi basi tunaishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah hatuwezi kuenda mbele zaidi ambako hatujui.

Kinachofanyika ni sisi kutumia hoja ya camera kwa mujibu wa yale masafa yenye uwezo wa kuona peke yake.

Kwa maana ili uone kitu kwenye camera lazima camera uielekeze kule kilipo kitu halisi,sasa kitu halisi kitatoa mwanga kuelekea kwenye camera,na camera ila lens mule ndani za kukuza kile kinachoonekana kwenye camera.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yako yote ni ya uongo sababu hayaongelei kile ninachokizungumzia mimi.

Pili, picha ulizoziweka zinaonyesha kinyume na hali halisi, ninaposema Dunia ni kubwa kiasi ambacho ukomo wake hakuna anae udiriki na ukubwa huo ndio unatuonyesha ya kuwa dunia ni kama tandiko hivi yaani tambarare. Hizo picha hazina uwiano na dunia duara ninayo izungumzia mimi.

Kwahiyo karekebishe kwaza unachokiandika ili uulize swali kulingana na ninacho kiamini mimi kwa hoja zenye nguvu na upembanuzi wa ajabu.

Siku nyingine usilete picha bunifu ili kuupata ukweli.
 
Safi,basi kama hali inatatulika ndani ya ukomo flani kimisingi basi tunaishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ule ukamilifu unakuwa hujaufikia.

Tatizo letu sisi binadamu tunshindwa kujua hata ukomo wa akili tulizo nazo na vitu ambayo tunavyovisanifu matokeo yake sasa kwa kutaka kwetu kuonyesha umahiri na kusema ya kuwa hakuna linaloshindikana katika uso wa ardhi watu wanaanza kuandika na kutunga mambo ya uongo ili waonekana wamevuka mipaka, huu ni utumwa wa kujitakia na kujifurahisha tu.

Yeyote asie jua mipaka yake huyo anatumia akili vibaya na ni mtumwa wa kujitakia.

Sababu nikikuuliza nionyeshe ukomo wa Dunia kulingana na matokeo ya hiyo Camera p1000 au p900 jibu huna, kama huna jibu na hujfikia ukomo huo, vipi uhitimishe jibu kamili na jumla kwa matokeo nusu. Hapa utaona Sayansi kuna maswali haiwezi kujibu na tatizo kubwa ni katika kufikia hitimisho.

Nipo ....
 
Mpaka nukta hii hakuna mwenzangu, na huyu nimeshampa haki yake, mimi nipo kati kati na tofauti yangu na nyinyi ni ile namna ya kufikia hitimisho ya jambo fulani, hili ni tatizo linaoikumba Sayansi kwa ujumla wake, kama umeichunguza kwa umakini Sayansi utaona Sayansi inakumbwa na tatizo hili sugu.

Humu nahisi niko peke yangu, sababu kuna yale ambayo nakubaliana na mtoa mada na kuna sehemu na napingana na mtoa mada na hii ipo pia kwa wengine natofautiana nao kwa mtindo huo.
 
Kuna vitu vina hali moja kwa kila hali, mathalani, ukiambiwa Jua liko juu yako au? Hapa unaweza kulijibu kwa kuzingatia mlengo gani ?

Kwahiyo hata hili la kuona halifungamani na mlengo fulani.
 
Ukamilifu unaokusudia ni upi

Kwani kati ya microscope na macho yetu ya kawaida ni kipi kinauwezo wa kukupa picha ya bacteria mbali mbali wa magonjwa ya damu ?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ungekuwa umesoma nilichokiandika huko nyuma swali hili usingeuliza.

Rejea nilipokuwa naelezea ukomo wa Camera na kazi yake na ukomo wa macho, kisha uje kuuliza swali upya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…