AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,146
Nilimsikiliza huyu mwanasayansi maarufu. Hapa ndo nikajua hawa jamaa walitudanganya all.along. yaani huyu mwenzao nae amewaruka kuwa sio duara tena bali lipo kama parachichi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mwanasayansi mahiri wa NASA Neil deGrasse Tyson alitangaza msimamo wa NASA kuwa dunia ina umbo la PEAR, ama pear shaped na sio tufe kama tunavyoaminishwa.
Alielekeza shutuma zake kwa wanajiographia kwa kutupatia uwakilishi usio halisia wa umbo la dunia. Sasa wengine tunabaki kujiuliza, VIPI KUHUSU MAMIA YA PICHA ZINAZOPIGWA KILA SIKU NA VYOMBO VYA ANGANI ZIKIONYESHA DUNIA NI TUFE?
Pia amedai kiwa urefu toka kipenyo cha dunia mpaka ncha ya kaskazini ni mfupi ukilinganisha na urefu mpaka ncha ya kusini. Kwamba kwenye equator dunia ni pana kwa sababu imejishindilia kutokana na kuzunguka miaka mingi, na ndivyo ilivyo kwenye kitako chake ncha ya kusini
View attachment 1341154View attachment 1341155
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mkuu curvature inazamisha meli inchi 8 kwa kila mile lakini camera ya p900 unavuta hadi mile 50 na zaidi na hapo tiyari hoja ya curvature haipo maana meli ingekuwa ishazama kwa inch 400 au metre 10 kwenda chini na isingeonekana au ingeonekana nusu au robo kwa urefu ila inaonekana ipo juu vilevile ,hata kama camera ina ukomo lakini ishavunja principle ya curvature hope tumeelewana kwa hapa.Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.
Maswali niliyo muuliza mimi, yalikuwa yamemili sana katika uwezo wa hizo Camera, na kwangu mimi kulingana na mjadala ule kati yangu na mtoa mada ni kwamba Camera ina ukom na si sahihi kuifanya marejeo ya kujua hakika ya jambo.
Nilimsikiliza huyu mwanasayansi maarufu. Hapa ndo nikajua hawa jamaa walitudanganya all.along. yaani huyu mwenzao nae amewaruka kuwa sio duara tena bali lipo kama parachichi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.
Maswali niliyo muuliza mimi, yalikuwa yamemili sana katika uwezo wa hizo Camera, na kwangu mimi kulingana na mjadala ule kati yangu na mtoa mada ni kwamba Camera ina ukom na si sahihi kuifanya marejeo ya kujua hakika ya jambo.
Hakuna mahali niliposema hivyo. Umeninukuu kinyume na nilichokisema.Kwa hyo kwa unavyoamini upeo wa macho mwisho wa kuons kwake kitu basi macho yataona kitu kimepotea tu paap na sio ile kinazidi kuws kidogo kadri umbsli unavyozidi na kuonesha kuwa kitu kinaenda kupotea taratibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa hapa unamaanisha nini ?Kwa nini siwe sahihi wskati inakizoom kitu mkuu?
Kwanza nani alikwambis Camera inaona ?Kumbuks kuwa ili camera ione kitu lazima mwanga wa ule kitu uingie mule kwenye camera,
Kuna tofauti gani kati ya kutu unachokiona kwa macho tubila msaada wa kifaa na kitu unachokiona kwa macho kwa msaada wa kifaa ?Camera unaona kitu halisi ila tu pale kuna lens zimeongezwa mule ndani ambazo zinauwezo wa kukuza miale ya kitu hiko ukakiona na wala pale huoni kitu fake.
Hapa pia sijakuelewa, embu nieleweshe niweze kukujibu.,sasa laiti kama hiko kitu kingekuwa kimepotelea kwenye curve basi miale ya mwamga wake isingeweza kuimgis kwenye camera na kwa sababu light rays siku zote husafiri kwenye straight line.
Nimeedit karejee tenaSijakuelewa hapa unamaanisha nini ?
Kwanza nani alikwambis Camera inaona ?
Kuna tofauti gani kati ya kutu unachokiona kwa macho tubila msaada wa kifaa na kitu unachokiona kwa macho kwa msaada wa kifaa ?
Hapa pia sijakuelewa, embu nieleweshe niweze kukujibu.
Nshaliona hilo
Haya wajitokeze wa upande huu, kusudi tutifuane 😄Mwanasayansi mahiri wa NASA Neil deGrasse Tyson alitangaza msimamo wa NASA kuwa dunia ina umbo la PEAR, ama pear shaped na sio tufe kama tunavyoaminishwa.
Alielekeza shutuma zake kwa wanajiographia kwa kutupatia uwakilishi usio halisia wa umbo la dunia. Sasa wengine tunabaki kujiuliza, VIPI KUHUSU MAMIA YA PICHA ZINAZOPIGWA KILA SIKU NA VYOMBO VYA ANGANI ZIKIONYESHA DUNIA NI TUFE?
Pia amedai kiwa urefu toka kipenyo cha dunia mpaka ncha ya kaskazini ni mfupi ukilinganisha na urefu mpaka ncha ya kusini. Kwamba kwenye equator dunia ni pana kwa sababu imejishindilia kutokana na kuzunguka miaka mingi, na ndivyo ilivyo kwenye kitako chake ncha ya kusini
View attachment 1341154View attachment 1341155
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Inazamishaje meli kwa kiwango hicho ? Elezea.Mkuu curvature inazamisha meli inchi 8 kwa kila mile lakini camera ya p900 unavuta hadi mile 50 na zaidi na hapo tiyari hoja ya curvature haipo
😃😃Sio watu hawaonekani mkuu. Mjadala wa kipekee kama huu, mtoa hoja na waunga hoja wakiulizwa maswali hawajibu au wanajibu nusu nusu "inakera na kuboa".Reality anasema tunakuwa controlled na Jews hasemi kivipi,kaja jamaa yenu mwingine anasema afwatwe katika uzi wake, yeye "Nibiru" anaijua nje na ndani na haelezei. Mwamba ana application yake nadhani inafanya Simulations tu lakini anakwambia kapiga picha dunia flat usiku huu na kuona jua linaangaza vipi katika flat earth😃😃.Kuna watu hawaonekani humu 😃
You sound misinformed au umeamua kuweka ligi.Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio mpira nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana unatumia machapisho ya haohao wazungu kuleta porojo zako hapa.Fatilia hii historia ndo chanzo cha NASA kuzinduliwaView attachment 1334633
Sent using Jamii Forums mobile app