Narudia tena msimamo inaonekana hujanisoma tangu kwanzo.Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.
Nikitumia akili yangu ya kuzaliwa kabisa inanituma Flat Ethers wako sahihi asilimia zoote.
Just imagine kuambiwa dunia ni duara kama tufe au yai then watu wanatembea juu na pembeni yake eti tumenata au tumeagama upande upande sometimes upsidedown ni idea za kijinga kuamini. Na haiingii akilini hata kidogo.
Watakuambia eti it's because of gravitatinal force, kitu ambacho ni uongo mtakatifu ulio generated from Babylon.
Ninachojua mimi na kukiamini hadi nakufa ni kwamba ili kitu kiwe pulled to the center of the earth lazima viwe ni magnetic substance, na hata earth. So haiingii akilini binadam na wanyama kuwa pulled at the center of the earth na kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea upandeupande na wengine kichwa chini miguu juu.
Flat ether are absolutely right coz wanavijadili vitu kwa uhalisia wake including density as a key formular. Chukua sinia kuubwa na weka vitu juu yake, iwe wanyama, na vitu vingine. Ni rahisi saana kuishi juu ya sinia kubwa coz haihitaji formular yeyote ku exist hapo, no gravitation force is needed there, the more denser you are, the more you prevail. Ukiweka unyoya utapepea coz of its low density.
Hitimisho, Flat Eather wako sahihi sana coz;
1. Binadam, wanyama na vitu vingine haviwezi kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea na kufanya shughuli zao huku wameegama upandeupande na wangine kichwa chini miguu juu eti wakiwa wamenatishwa na gravity, wakati wao ni non-magnetal.
2. Ni ngumu kwa maji kukaa kwenye kitu kilicho duara kikining'ina angani yasimwagikie upande mwingine wakati nayo ni non-magnetal.
3. Ni ngumu kwa maji kutengeneza mkunjo ili kuleta dhana ya uduara wa dunia.
4. Ni rahisi kwa PLATE EARTH ku-hold kila kitu juu yake without any assist of gravity.
GLOBE/ROUND EARTH IS ABSOLUTELY A FAKE IDEA GENERATED BY ILLUMINATI UNDERTAKING BABYLONIAN PLANS TO GLORIFY LUCIFER AS A SUPREME BEING..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamechoka kufikiri hivyo wamekabidhi bongo zao kwa watu wachache wafikori kwa niaba yaoMkuu yani habari za dome hawataki kuzisikia ila ukweli upo wazi na unajidhihirisha ,nachoshangaa ni support kubwa wanapewa na civilians kumbe hawajui wanasupport nini zaidi ya ushabiki usio na kichwa wala miguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lako halikidhi hoja. Unadai kinapotea kwa sababu ya curvature, kwanini baada ya kuzoom kiibuke juu tena? Huoni ilipaswa iwepo horizon tu?Nimekwisha jibu kuhusiana na hilo katika andiko langu lililopita kuhusu 'Perspective'.
Mnatag aje atulie na hii videoJibu lako halikidhi hoja. Unadai kinapotea kwa sababu ya curvature, kwanini baada ya kuzoom kiibuke juu tena? Huoni ilipaswa iwepo horizon tu?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Umeulizwa, kwa nn meli ikiwa inasafiri baharini, itaendelea kutoweka machoni kama mnavyodai ni due tu curvature. Sasa kwa nini ukichukua kamera ukazoom na kuzoom tena meli hiyo itaendelea kuonekana tena kadri unavyozoom na isipotelee kwenye mbonyeo/mkunjo wa dunia.!? Maana kwa dunia duara inapaswa mwisho wa siku hata ukizoom vp camera, meli hio haipaswi kuonekana.Narudia tena msimamo inaonekana hujanisoma tangu kwanzo.
Sisi tunasema hivi, Dunia ni duara ila inaonekana tambarare kulingana na ukubwa wake.
Ila kusema flat kama meza mathalani, hapa wenye mtazamo huo wana maswali ya kujibu.
Kama hujaelewq nilicho kiandika unaweza kuniuliza tena.
Je, unafahamu kuhusiana na utendaji kazi wa hizo binoculars?Jibu lako halikidhi hoja. Unadai kinapotea kwa sababu ya curvature, kwanini baada ya kuzoom kiibuke juu tena? Huoni ilipaswa iwepo horizon tu?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Narudia tena msimamo inaonekana hujanisoma tangu kwanzo.
Sisi tunasema hivi, Dunia ni duara ila inaonekana tambarare kulingana na ukubwa wake.
Ila kusema flat kama meza mathalani, hapa wenye mtazamo huo wana maswali ya kujibu.
Kama hujaelewq nilicho kiandika unaweza kuniuliza tena.
Kwa hyo kwa unavyoamini upeo wa macho mwisho wa kuons kwake kitu basi macho yataona kitu kimepotea tu paap na sio ile kinazidi kuws kidogo kadri umbsli unavyozidi na kuonesha kuwa kitu kinaenda kupotea taratibu?Je, unafahamu kuhusiana na utendaji kazi wa hizo binoculars?
Well,
Kazi kuu ya binoculars ni kukileta kitu karibu zaidi katika upeo wa macho pale yanaposhindwa kutofautisha vitu vidogo sana ama vilivyo katika umbali mrefu.
Lakini, meli inapofikia katika point fulani ya earth curvature haitoweza kuonekana hata ufanye zooming ya namna gani.
Na nilikwisha eleza katika maelezo yangu ya awali ambayo wewe wasema "hayakidhi hoja";
Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.
Hivyo basi, hata kama ukitumia camera yenye uwezo mkubwa namna gani kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama na kuufuatilia mwenendo wa meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
Je, unafahamu kuhusiana na utendaji kazi wa hizo binoculars?

Unaongea kwa theory? Jaribu kwa vitendo, ama tazama video hapo juuJe, unafahamu kuhusiana na utendaji kazi wa hizo binoculars?
Well,
Kazi kuu ya binoculars ni kukileta kitu karibu zaidi katika upeo wa macho pale yanaposhindwa kutofautisha vitu vidogo sana ama vilivyo katika umbali mrefu.
Lakini, meli inapofikia katika point fulani ya earth curvature haitoweza kuonekana hata ufanye zooming ya namna gani.
Na nilikwisha eleza katika maelezo yangu ya awali ambayo wewe wasema "hayakidhi hoja";
Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.
Hivyo basi, hata kama ukitumia camera yenye uwezo mkubwa namna gani kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama na kuufuatilia mwenendo wa meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
Mnatag aje atulie na hii video
View attachment 1341459View attachment 1341461
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo video hapo na zipo nyingi mno ambazo watu wamefanya experiment kuondoa hizo fikra zako.Je, unafahamu kuhusiana na utendaji kazi wa hizo binoculars?
Well,
Kazi kuu ya binoculars ni kukileta kitu karibu zaidi katika upeo wa macho pale yanaposhindwa kutofautisha vitu vidogo sana ama vilivyo katika umbali mrefu.
Lakini, meli inapofikia katika point fulani ya earth curvature haitoweza kuonekana hata ufanye zooming ya namna gani.
Na nilikwisha eleza katika maelezo yangu ya awali ambayo wewe wasema "hayakidhi hoja";
Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.
Hivyo basi, hata kama ukitumia camera yenye uwezo mkubwa namna gani kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama na kuufuatilia mwenendo wa meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
Yani anataka kutuambia kuwa kitu kitapotea kwenye upeo wa macho ile paap hukioni kama vile puto kubwa linapopasuka vile.Unaongea kwa theory? Jaribu kwa vitendo, ama tazama video hapo juu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hiyo video hapo na zipo nyingi mno ambazo watu wamefanya experiment kuondoa hizo fikra zako.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Yani anataka kutuambia kuwa kitu kitapotea kwenye upeo wa macho ile paap hukioni kama vile puto kubwa linapopasuka vile.
Ina maana anakataa kuwa kitu kinapopotea kwenye upeo wa macho kinaptea taratibu taratibu yeye anakataa kabisa.
Hawa dunia mpira wana matatizo sana hawazijibu wanabaki kushikilia misimamo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu rahisi hapo ni utofauti wa ukomo tu kati ya viwili hivyo.Umeulizwa, kwa nn meli ikiwa inasafiri baharini, itaendelea kutoweka machoni kama mnavyodai ni due tu curvature. Sasa kwa nini ukichukua kamera ukazoom na kuzoom tena meli hiyo itaendelea kuonekana tena kadri unavyozoom na isipotelee kwenye mbonyeo/mkunjo wa dunia.!? Maana kwa dunia duara inapaswa mwisho wa siku hata ukizoom vp camera, meli hio haipaswi kuonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.Mkuu hayo maswali uulize sasa mtoa mada yupo nina imani stakujibu.
Kumbuka mtoa msda anasema dunis ni duara kama sahani na sio duara kama mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini isiwe sahihi kutumia camera inayozoom kama marejeo wakati inakizoom kitu halisi ambacho camera imeelekezwa kwenye kitu hicho?Hili nashajadiliana nae na akiri juu ya msimamo nilio nao mimi.
Maswali niliyo muuliza mimi, yalikuwa yamemili sana katika uwezo wa hizo Camera, na kwangu mimi kulingana na mjadala ule kati yangu na mtoa mada ni kwamba Camera ina ukom na si sahihi kuifanya marejeo ya kujua hakika ya jambo.