Hayo ya kulipua sio ya msingi.
Mathalani mimi nijuavyo na hili lisiwe mjadala kwa sasa. Marekani na Irani wamoja. Hapa wakubwa tunasema tunaweka kiporo.
Tatizo sio kufatilia tatizo ni kuthibitisha, je ushawahi kuhoji lolote pindi ulipokuwa unafatilia na kaka ulihoji, ulihoji nini na ulitumia nguvu kiasi kupata majibu ya kile unacho hoji na je ulipata majibu ? Kaka leo hii watu wanafatilia mangapi lakini hawapati ukweli jui ya hayo wanayoyafatilia ? Ukweli uko wazi sababu tu wao wanataka muone kile wanachotaka wao muone na wanajua wanapenda kuona basi mnaonyeshwa.
Jambo lingine, nilifundishwa nikiwa nafatilia jambo fulani kitu cha kwanza kufatilia na kukijua na kukitilia mkazo ujue ni wapi unachukua habari za kweli juu ya kile unachokifatilia. Usipojua wapi pakuchukua hili ndio tatizo kubwa kuliko ufatiliaji wenyewe.
kwanza kabisa kama tunafundishwa ni mviringo ina maana tuliamini ni tambarare au kama kama si hivyo basi swali lako lirudie tena kwakujiuliza, kwanini watufundishe ni mviringo je wangetuacha kungetokea nini? Kama tulidanganywa wao waliathirikaje?Kama NASA wamefanya project za mabilioni ya dollar miaka yote kumbe wanatuongopea walaaniwe. Na kwanini watuongope kwa faida gani sasa?
Kwani sisi tukijua dunia ipo flat inatuongezea nini au inatupunguzia nini?
Mimi sasa hivi nikitangaziwa dunia ni flat nitafanya nini kwani nitajiua? Au kwani nitakwenda huko mwisho wa ncha ya dunia na sururu au shoka nianze kupasua kioo nitoke nje ya dunia?
Na kwanini Russia, Japan, Korea, China wapo kimya ilihali kila mara wanarusha vyombo vyao huko nje ya dunia?
Ila hii la dunia flat linamaswali mengi sana
Hizi habari za dunia ipo flat sio za kupuuzwa otherwise lifanyike jambo la kuprove dunia ni spherical shape.
Swali kuprove dunia ni flat nini kifanyike?
Sent using Cash Money Wings
OkHaya maswali naona yamekosa majibu kabisa.
1. Kama duniani ni flat then northen hemsphere ndio centre ya dunia as kwa hizo ramani za flat earth mnazotuonesha. Then kama jua linaizunguka dunia huko pembeni basi hili eneo lilipaswa kuwa na total darkness au constant amount ya mwanga. Lakini uhalisia haupo hivyo, Hili limekaaje?
2. Ni kuhusu jua la utosi. Kama jua linaizunguka dunia then maana yake kila masaa 24 jua linakuwa limefanya mzunguko mmoja. Kwa maana hiyo tunategemea maeneo fulani kupata jua la utosi kila siku. Kitu ambacho hakipo. Hili nalo linakaaje? Nchi kama Egypt inapataje jua la utosi?
Sent using Jamii Forums mobile app

Mi naomba unitumia vitabu utakavyiweza kunitumia niendelee kushiba uelewa zaidi.
LolBas potea coz you'll contribute nothing here without physics knowledge
Kani? Kani ni nini?Tuko pamoja mrembo wa kani.
View attachment Earth Not a Globe (Samuel Rowbothan).pdfMi naomba unitumia vitabu utakavyiweza kunitumia niendelee kushiba uelewa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huwa namshangaa mtu anayekubali dunia ni sphere halafu akiambiwa asili yake nyani anaruka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hii ni uzushi Zurri.Mrembo wa nguvu.
Kani ni nguvu.
Kwa kutumia hiyo michoro picha yako ambayo inajaribu kuelezea dunia ni bapa...
Hebu tueleze kwa nadharia hiyo hiyo, kupatwa kwa jua au mwezi kunatokeaje?