Dusabimana
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 278
- 248
Mkuu kumbuka hata hawa Jamaa wa flat Earth hawataki kutoa ushirikiano wa kutosha ktk maswali wanayo ulizwa! Mfano Swali limeulizwa kuhusu picha ya hizo dome3 za vioo zinazo ifunika Dunia.Aliye piga picha ya hizo Dome zote 3 aliwezaje,iwapo roket inashindwa kupenya na kutoka nje ya dome ya kwanza tu?! Hata katika vitabu vya Dini hiyo habari ya Dome ya kioo kuifunika Dunia haija andikwa! Tungesema wanao pinga flat Earth iliyo funikwa na dome za kioo wanapingana na Mungu! Sasa Jamaa huyo mwingine utetezi wake ni kutuwekea Vijumba na Majengo yenye Dome kwa juu!This is not for my brain to decode as long as someone claims to have actually been there. It should be the matter of facts!!
Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshangaa kuwa evidences zote zinazohusiana na hii program ya mwezini NASA wanadai zimepotea. Hapa kuna tatizo.
Lakini pia nikiweka maoni yangu kuhusu globe earth na flat earth, wengi katika wateezi wa globe earth nimegundua wanakimbilia kwenye kile walicholishwa vyuoni kuliko kujadili uhalisia wa mambo. Ndipo utaona wajivuni wa complex mathematical formulas, wanaoringia maelezo ya wanasayansi wa ulaya n.k. Sifurahishwi sana na jinsi wanasayansi wetu wenyewe wanavyoshindwa kujenga hoja nyepesi tu za kueleweka kwa wana jf wa kawaida kama mtoa mada alivyokusudia.
Kwa mwenye ufahamu kidogo tu, why on earth pale panapohitajika elimu kwa umma wote watu wakimbilie kwenye maformula ya chuo kikuuu ambayo hawajawahi hata kuyafanyia kazi zaidi ya kukariri ili kupata GPA nzuri? Can't we think and make sense on our own? Kwa nini tufanywe watumwa wa mitazamo ya wengine?
I mean, sipo kupinga globe earth ila sipendezwi na majivuno ya kina Einstein n.k. Be simple, elezea kile ulichokielewa sasa in a layman's language. Kutuletea maelezo complecated ni dalili ya kutoelewa hata kile unachokizungumza, just break it down in a simple to understand language.
Thanks in advance.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
ha haaa..kumbe tumepatikana wengi humu, spherical earth bye bye
Hii nini mkuuTHINGS ARE BECOMING MORE COMPLEX AT THE FIRMAMENT
what is that ?
I will go crazy if its a portal
View attachment 1339655View attachment 1339656View attachment 1339659View attachment 1339660
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja humu alikuwa na majibu mfano wa hilo. Yaani anataja majina tu, hoja hajengi, ukiona mtu anataja sana majina bila kujenga hoja, ujue hana hoja zaidi ya kutaja majina, na nikamwambia kutaja majina kazi rahisi sana na huenda nikawa nauwezo wa kutaja majina kuzidi yeue, ila tunachotaka sisi ni hoja.Wr jamaa unanitibua wewe unaijua Schrondinger equation, fourier series, thevenin equation inaijua, boltzmann, canonical ensembe unazijua wewe mpumbavu we hata nikikuelewesha huwezi elewa fool"
Hayo ndio majibu ya wasomi wetu. Yaani wamesahau wanasansi wengi si waingerza waliandika mambo yao katika lugha ngumu hasa kilatini, ila kuna watu wameturahisishia kwenye lugha nyepesi ili tuweze kuelewa. Leo hii mtu kutoka tu Mwakaleli hapo anajiona mtaalama sana na hakuna anaeweza kuelewa zaidi yake aaahhh. Shuwaini. Kwanza kwa nini muwe madikteta wa mawazo, acheni watu watafari ndio kazi ya ubongo. Hii inaonesha wasomi wetu wengi ni vilaza ndio maana wanatumia fomula ngumu ili tuwaone wako nondo
Mkuu wasomi wetu akina baba swalehe hawawezi kutuelewa kwa sababu wamesoma mavitu Mengi ambayo yapo complicated na kuyabugia.ha haaa..kumbe tumepatikana wengi humu, spherical earth bye bye
Kuna mmoja humu alikuwa na majibu mfano wa hilo. Yaani anataja majina tu, hoja hajengi, ukiona mtu anataja sana majina bila kujenga hoja, ujue hana hoja zaidi ya kutaja majina, na nikamwambia kutaja majina kazi rahisi sana na huenda nikawa nauwezo wa kutaja majina kuzidi yeue, ila tunachotaka sisi ni hoja.
Tuko pamoja kaka.
Wamekariri hawajasomaMkuu wasomi wetu akina baba swalehe hawawezi kutuelewa kwa sababu wamesoma mavitu Mengi ambayo yapo complicated na kuyabugia.
Si unaona hapa baba swalehe hatoi ushirikiano kwa sababu hana lugha rahisi ya kutuelezea tukaelewa juu ya hili,atakupelrka kwenye madudu ya physics wakati jambo hili anaweza khhoji hata mtu asiyejua physics.
Na hyo inadhihirisha kuwa wasomi wetu wameletewa dini mpya ya sayansi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila jamaa REALITY amejitahidi sana kuleta ushahidi ila watu hawataki, kumbe sio kila mzungu ni mpotoshaji, wazungu wengine wako very real...ukiangalia wazungu ambao ni flat earther kuna kitu unakipataMkuu wasomi wetu akina baba swalehe hawawezi kutuelewa kwa sababu wamesoma mavitu Mengi ambayo yapo complicated na kuyabugia.
Si unaona hapa baba swalehe hatoi ushirikiano kwa sababu hana lugha rahisi ya kutuelezea tukaelewa juu ya hili,atakupelrka kwenye madudu ya physics wakati jambo hili anaweza khhoji hata mtu asiyejua physics.
Na hyo inadhihirisha kuwa wasomi wetu wameletewa dini mpya ya sayansi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mkuu na hoja nyingi za dunia duara wanazotoa kuthibitisha pia zinathibitishika kwa dunia flat.ila jamaa REALITY amejitahidi sana kuleta ushahidi ila watu hawataki, kumbe sio kila mzungu ni mpotoshaji, wazungu wengine wako very real...ukiangalia wazungu ambao ni flat earther kuna kitu unakipata
ha haaa.....wamejibu vzuri hadi nimejisikia vibaya kwann nilifundishwa tofauti,Sahihi mkuu na hoja nyingi za dunia duara wanazotoa kuthibitisha pia zinathibitishika kwa dunia flat.
Hoja kubwa ilikuwa ya baharini kuona meli inapanda kila inapozidi kuja.ila ismejibiwa fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka hata hawa Jamaa wa flat Earth hawataki kutoa ushirikiano wa kutosha ktk maswali wanayo ulizwa! Mfano Swali limeulizwa kuhusu picha ya hizo dome3 za vioo zinazo ifunika Dunia.Aliye piga picha ya hizo Dome zote 3 aliwezaje,iwapo roket inashindwa kupenya na kutoka nje ya dome ya kwanza tu?! Hata katika vitabu vya Dini hiyo habari ya Dome ya kioo kuifunika Dunia haija andikwa! Tungesema wanao pinga flat Earth iliyo funikwa na dome za kioo wanapingana na Mungu! Sasa Jamaa huyo mwingine utetezi wake ni kutuwekea Vijumba na Majengo yenye Dome kwa juu!
Mkuu wasomi wetu akina baba swalehe hawawezi kutuelewa kwa sababu wamesoma mavitu Mengi ambayo yapo complicated na kuyabugia.
Si unaona hapa baba swalehe hatoi ushirikiano kwa sababu hana lugha rahisi ya kutuelezea tukaelewa juu ya hili,atakupelrka kwenye madudu ya physics wakati jambo hili anaweza khhoji hata mtu asiyejua physics.
Na hyo inadhihirisha kuwa wasomi wetu wameletewa dini mpya ya sayansi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekusoma, nadhani hizo domes ni imaginary kutokana na ancient beloefs kwa sababu elimu ya globe earth imekuja hivi majuzi tu. Kwa sasa nafuatilia expeditions mbalimbali huko Antarctica, inaonyesha kuna jambo limefichwa kabisa.Mkuu kumbuka hata hawa Jamaa wa flat Earth hawataki kutoa ushirikiano wa kutosha ktk maswali wanayo ulizwa! Mfano Swali limeulizwa kuhusu picha ya hizo dome3 za vioo zinazo ifunika Dunia.Aliye piga picha ya hizo Dome zote 3 aliwezaje,iwapo roket inashindwa kupenya na kutoka nje ya dome ya kwanza tu?! Hata katika vitabu vya Dini hiyo habari ya Dome ya kioo kuifunika Dunia haija andikwa! Tungesema wanao pinga flat Earth iliyo funikwa na dome za kioo wanapingana na Mungu! Sasa Jamaa huyo mwingine utetezi wake ni kutuwekea Vijumba na Majengo yenye Dome kwa juu!
Yaani wana hoja zinazoeleweka zaidi na hazihitaji formula ndeefuila jamaa REALITY amejitahidi sana kuleta ushahidi ila watu hawataki, kumbe sio kila mzungu ni mpotoshaji, wazungu wengine wako very real...ukiangalia wazungu ambao ni flat earther kuna kitu unakipata
Hutakiwi kuanza kuzungumzia flat this and flat that kabla huja define flat ni nini.Ni heri ungejikita kwenye hoja. Hilo swali lako linalenga kutuondoa kwenye hoja ya msingi, hilo swali ni la kindergatten kwa mtoto anayejifunza lugha zaidi kuliko facts zinazojadiliwa hapa.
Kukusaidia basi, the earth is flat, kwa sababu ya kulinganisha model mbili: globe na flat model. Tunaposema dunia ni globe ama ni duara hatutazami perfection bali general appearance hasa hasa ukizingatia scale yake. Kwani unataka kutuambia kile kinachoonyeshwa na NASA ndii mwonekano halisi wa dunia ama ni kulingana na picha kwa kuzingatia scale?
Ukisikia flat earth siku nyingine ujue ni relative to globe model of representation, usilete vijilugha vyako kutaka kuhamisha mada. Jikite kwenye hoja za msingi, usiwe kama members wanaoweza kung'ang'ania typing error kwa sababu tu hukuweka comma, ni kujisgusha level ya uelewa wa mambo na kuonyesha huna hoja kuhusiana na kile kinachoendelea.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Sijauliza "are mountains flat when viewed from above?".When viewed from above, YES. Haya rudi kwenye mada
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Nashughulika na hoja ya msingi, you have a dictionary to your aid.Sijauliza "are mountains flat when viewed from above?".
Nimeuliza, are mountains flat?
Mbona hujibu swali nililouliza na swali unalojibu sijauliza?