Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.Mkuu tuvumiliane. Kuna watu wa uelewa tofauti tofauti hivyo ukiona mtu ana uelewa mdogo below your expectations usimtukane, mvumilie tu. Lakini pia tunatofautiana level ya uvumilivu naona wewe huko kama speaker mmoja wa bunge la south Africa ana hasira kama zako, kuna siku alimwambia mbunge, "honorable member you are worse than I expected". Nilicheka utadhani mazuri!
Okay huko sahihi. Lakini ujue obvious/trivial things are not always obvious/trivial to everybody. Ndiyo maana kuna baadhi ya technologies kule kwa wenzetu ni very trivial/common technologies lakini huku kwetu ni bonge la surpriseWala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
Mi nadhani wewe ndio una mtindio wa ubongo, kama isue ni kutumia common sense shule za nini? Yaani we punguani unajifanya msomi halafu unashindwa kujua kwamba sayansi is not the use of common sense. Nyie ndio mnaopewa digrii za chupi. Kuna haja gani watu kuwekeza katika tafiti mbalimbali wakati kuna common sense. Yaani leo nimekudharau sana na kukuona mtu wa hovyo kuliko nilivyokuwa nakuheshimu kwa michango yako.Sasa we ignorant fool hata kama hujaenda shule unashindwaje kujua kwamba Dunia ni duara mpaka uwasumbue watu hapa wakuelezee elementary knowledge?
Muwe mnaenda hospitali kuchunguzwa kama mna mtindio kwenye bongo zenu.
Do you think life is a coincidenceView attachment 1338695View attachment 1338696View attachment 1338697
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alianza kuizungusha hiyo dunia mpk ikapata speed kubwa hivyo?? Na je inaongezeka??
Bado sikubaliani kwamba eti dunia ni kubwa sana mpk hiyo speed yote hatuihisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesoma hujaelimika mkuu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Good. Its a shame in this age and time kubishana kuhusu jambo dhahiri kabisa. Thread ifungwe tu .Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
Mkuu, wala sijaongea kwa habari za flat ama globe earth. Nimeongea kwa sababu ya aina ya maoni yako. Mtu aliyeelimika anaelewa maana ya mtazamo huru na kuruhusu hoja, kwani humo ndimo huzaliwa challenges mpya zitakazoimarisha mtazamo wake kama zitatafutiwa majibu.We ndo umeelimika unaamini dunia ni flat?
Mkiitwa monkeys mnalalamika, 2020 tukae tunadiscuss kama dunia ni flat?
Mnabidi mtoe nauli zenu,, kwani nyinyi hamna mikonoMkuu hata Sisi tunaweza bishana kwa vitendo! Ombi langu kwako Utuandalie sehemu nzuri ya kukusanyika ili tuoneshe vitendo na Utusaidie Kanauli ka kuja na kurudi Mikoani kwetu!
Daah, ookey.Hicho kioo kilicho funika Dunia anasema kiko kama Dome lakini bado hajaleta ushahidi wa kutosha ni jinsi gani Watu wasio weza kupaa juu kwa roket, wanaweza safiri aridhini Kilometers ngapi wafike kwenye kizuizi cha hicho kioo! Maana hapatokuwa na woga wa kutoka nje ya Dunia Mtu atagota kwenye kizuizi imara cha Dome ya kioo!
Nadhani wangeanza kwanza kwenda mwezini. Mimi najiuliza kwa nini hakuna tena mission ya lunar landing baada ya ile ya apollo? What went wrong?Niwakumbushe tu wale wa dunia ni kama sahani wakati tupo hapa tunabishana wanasayansi weupe huko waliosemaga dunia ni duara wanaandaa kifaa kikubwa cha utalii nje ya dunia. Unalipa nauli unafanya utalii kama unavyoenda mbugani. Pia wanafikiria namna ya ku colonise mars iwe inafaa kuishi binadamu.
Mayb it was fake, mayb it is too expensive, mayb ts too dangerous or mayb there is nothing there to waste resources for, or mayb the word is FLAT covered with glass hard to break. Let your brain decide.Nadhani wangeanza kwanza kwenda mwezini. Mimi najiuliza kwa nini hakuna tena mission ya lunar landing baada ya ile ya apollo? What went wrong?
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Kama hujali kuhusu spelling, usingetumia herufi yoyote kuanzia a hadi z.