Mbona kama flat earthers mnapingana wenyewe kwa wenyewe?Mbona kitu kidogo sana...satellite zinakua launched live kabisa kila mtu anaona
Ukiweza kunielezea kupatwa kwa mwezi nitakuwa muumini wako mzuri
Mimi sio flat earther kama uko juu nimejibu kiflat brain au kiflat earther ujue nlikuwa nawaTroll tu au jokes.....it was sarcasmMbona kama flat earthers mnapingana wenyewe kwa wenyewe?
Ebu kubalianeni nyie kwa nyie mfike muafaka wote mje na jibu moja kwanza then tuanze kuwahoji na sisi
It's Scars
Asante kwa haya maelezo Mwanamkiwi.Wako. Kila siku watu 6 huzunguka Dunia mara kadhaa. Wako kilomita 400 juu ya uso wa ardhi wakikaa kwenye ISS (Kituo cha Anga cha Kimataifa). Kituo hiki kipo pale juu tangu mwaka 2000 yaani karibu miaka 20. Inazunguka Dunia mara 15 kila siku. Mara nyingi naweza kuiona kwenye anga la usiku inapoonekana kama nyota angavu inayopita haraka. Tangu mwaka 2000 watu 240 wamekaa pale juu, kwa kawaida kwa miezi kadhaa, wakati mwingine kwa muda mfupi zaidi. Wanaanga 6 wanaweza kukaa pale pamoja. Hadi sasa walifika 151 kutoka Marekani, 47 kutoka Urusi, 9 kutoka Japani, 8 kutoka Kanada, 5 kutoka Italia, 4 kutoka Ufaransa, 3 kutoka Ujerumani na 1-2 kutoka Belgium, Brazil, Denmark, Kazakhstan, Malaysia, Uholanzi, Afrika Kusini, Korea Kusini, Hispania, Sweden, Falme za Kiarabu (UAE), na Uingereza.
Waliopo sasa hivi ni "Expedition 61" ni wafuatao:
Luca Parmitano, Italia anaruka mara ya 2 , ndiye rubani kiongozi
Aleksandr Skvortsov, Urusi anaruka mara ya 3
Andrew Morgan, Marekani anaruka mara ya 1
Christina Koch, Marekani anaruka mara ya 1
Oleg Skripochka, Urusi anaruka mara ya 3
Jessica Meir, Marekani anaruka mara ya 1
Wote hao wanatazama umbo laDunia kuwa tufe, wakiangalia kwenye dirisha la kituo.
Wewe unajiona yupo sahihi kwa unachokiandika na mwenzako naye anaona yupo sahihi vile vileAngalia hio gif vizuri kuna muda jua linakuwa mbele na kuna mda mwezi unakuwa mbele kwenye circulation angalia vizuri na narudi mda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli unao kwenye ufahamu wakoWewe unajiona yupo sahihi kwa unachokiandika na mwenzako naye anaona yupo sahihi vile vile
sasa mnatuchanganya sisi watazamaji ambao tunataka kujifunza kupitia nyinyi hatuelewi yupi mjuzi yupi mamluki, tunashindwa kujua hoja za nani ni kweli
It's Scars
Ni mtihani.Hii imekua battle ya wao kwa wo
Sasa tunashindwa kuwaelewa maelezo ya nani ni sahihi na ya nani ni magumashi
It's Scars
Sisi tuna majibu sahihi hatuna haja ya kurudia rudia kwa kufanya majaribio kwa kufata nadharia.Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.
The most important thing tumewakumbusha ,sio lazima akili kwenye kichwaSisi tuna majibu sahihi hatuna haja ya kurudia rudia kwa kufanya majaribio kwa kufata nadharia.
Yaani tuna shabaha tukilenga hatukosi.
Wewe unajiona yupo sahihi kwa unachokiandika na mwenzako naye anaona yupo sahihi vile vile
sasa mnatuchanganya sisi watazamaji ambao tunataka kujifunza kupitia nyinyi hatuelewi yupi mjuzi yupi mamluki, tunashindwa kujua hoja za nani ni kweli
It's Scars
The most important thing tumewakumbusha ,sio lazima akili kwenye kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si huamini kwasababu ya dini?Mwenyewe nafatilia hapa,naona kama funia flat wananichukua kwa sababu hoja zao zina mashiko ingawa zinaonekana za kijinga mbele ya wale waliokuwa vizuri kuisoma na kuiamini elimu ya darasani ya astronomy
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuna huuView attachment 1337646View attachment 1337647View attachment 1337648View attachment 1337649View attachment 1337651View attachment 1337652View attachment 1337656View attachment 1337659View attachment 1337663View attachment 1337665View attachment 1337664View attachment 1337667View attachment 1337669View attachment 1337670
Sent using Jamii Forums mobile app