The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mbona kitu kidogo sana...satellite zinakua launched live kabisa kila mtu anaona
Ukiweza kunielezea kupatwa kwa mwezi nitakuwa muumini wako mzuri
Mbona kama flat earthers mnapingana wenyewe kwa wenyewe?

Ebu kubalianeni nyie kwa nyie mfike muafaka wote mje na jibu moja kwanza then tuanze kuwahoji na sisi

It's Scars
 
Mbona kama flat earthers mnapingana wenyewe kwa wenyewe?

Ebu kubalianeni nyie kwa nyie mfike muafaka wote mje na jibu moja kwanza then tuanze kuwahoji na sisi

It's Scars
Mimi sio flat earther kama uko juu nimejibu kiflat brain au kiflat earther ujue nlikuwa nawaTroll tu au jokes.....it was sarcasm
 
Wako. Kila siku watu 6 huzunguka Dunia mara kadhaa. Wako kilomita 400 juu ya uso wa ardhi wakikaa kwenye ISS (Kituo cha Anga cha Kimataifa). Kituo hiki kipo pale juu tangu mwaka 2000 yaani karibu miaka 20. Inazunguka Dunia mara 15 kila siku. Mara nyingi naweza kuiona kwenye anga la usiku inapoonekana kama nyota angavu inayopita haraka. Tangu mwaka 2000 watu 240 wamekaa pale juu, kwa kawaida kwa miezi kadhaa, wakati mwingine kwa muda mfupi zaidi. Wanaanga 6 wanaweza kukaa pale pamoja. Hadi sasa walifika 151 kutoka Marekani, 47 kutoka Urusi, 9 kutoka Japani, 8 kutoka Kanada, 5 kutoka Italia, 4 kutoka Ufaransa, 3 kutoka Ujerumani na 1-2 kutoka Belgium, Brazil, Denmark, Kazakhstan, Malaysia, Uholanzi, Afrika Kusini, Korea Kusini, Hispania, Sweden, Falme za Kiarabu (UAE), na Uingereza.

Waliopo sasa hivi ni "Expedition 61" ni wafuatao:

Luca Parmitano, Italia anaruka mara ya 2 , ndiye rubani kiongozi
Aleksandr Skvortsov, Urusi anaruka mara ya 3
Andrew Morgan, Marekani anaruka mara ya 1
Christina Koch, Marekani anaruka mara ya 1
Oleg Skripochka, Urusi anaruka mara ya 3
Jessica Meir, Marekani anaruka mara ya 1

Wote hao wanatazama umbo laDunia kuwa tufe, wakiangalia kwenye dirisha la kituo.
Asante kwa haya maelezo Mwanamkiwi.
But my question was kwa hawa 'Flat-Earther' kwamba kama hawaamini utafiti uliofanywa kwanini wasiende kujaribu kuangalia hao na watuletee ushahidi kwamba dunia ni flat?.
 
Angalia hio gif vizuri kuna muda jua linakuwa mbele na kuna mda mwezi unakuwa mbele kwenye circulation angalia vizuri na narudi mda si mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajiona yupo sahihi kwa unachokiandika na mwenzako naye anaona yupo sahihi vile vile

sasa mnatuchanganya sisi watazamaji ambao tunataka kujifunza kupitia nyinyi hatuelewi yupi mjuzi yupi mamluki, tunashindwa kujua hoja za nani ni kweli

Ukweli unao kwenye ufahamu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Ice_Wall.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.
Sisi tuna majibu sahihi hatuna haja ya kurudia rudia kwa kufanya majaribio kwa kufata nadharia.

Yaani tuna shabaha tukilenga hatukosi.
 
Mwenyewe nafatilia hapa,naona kama funia flat wananichukua kwa sababu hoja zao zina mashiko ingawa zinaonekana za kijinga mbele ya wale waliokuwa vizuri kuisoma na kuiamini elimu ya darasani ya astronomy
Wewe unajiona yupo sahihi kwa unachokiandika na mwenzako naye anaona yupo sahihi vile vile

sasa mnatuchanganya sisi watazamaji ambao tunataka kujifunza kupitia nyinyi hatuelewi yupi mjuzi yupi mamluki, tunashindwa kujua hoja za nani ni kweli

It's Scars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe nafatilia hapa,naona kama funia flat wananichukua kwa sababu hoja zao zina mashiko ingawa zinaonekana za kijinga mbele ya wale waliokuwa vizuri kuisoma na kuiamini elimu ya darasani ya astronomy

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si huamini kwasababu ya dini?

Mi nawe tushamalizana ulishanambia jambo lolote ambalo dini itasema we utafata bila kuhoji hata kama ingesema mwanaume aolewe wewe uko tayari kufata, sasa sembuse ushindwe kufata nadharia ya dunia bapa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom